Je, Rais Samia anaelekea kuipata tuzo ya Mo Ibrahim?

Tuzo za No utolewa kwa kiongozi aliewekwa madarakani na wananchi.Na sio kwa kupewa
 
Haitolewi kwa waporaji, wala bata wa ccm. Kisha nogewa anatumia dola kubambikia kesi na uongo mwingiiii
 
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ameweza kujipambanua kwa hatua mbalimbali nyingi zikikinzana na za mtangulizi wake.

Ninaamini atakuwa alijiwekea lengo la kuibuka mshindi siku zijazo za hii tuzo "lucrative" ya Mo Ibrahim. Endapo atashinda tuzo hii, Tanzania itaingia kwenye nafasi nzuri sana kidemokrasia na hali za maisha ya watu.

Ni jukumu letu sote kuendelea kumkumbusha pale atakapoonekana kukengeuka na kuacha roadmap ya kumpa tuzo hii. Mama anaweza
Mbona ameshakengeuka tayari, huyu hata tuzo za BSS hawezi kupata, sembuse tuzo ya Mo Ibrahim!
 
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ameweza kujipambanua kwa hatua mbalimbali nyingi zikikinzana na za mtangulizi wake.

Ninaamini atakuwa alijiwekea lengo la kuibuka mshindi siku zijazo za hii tuzo "lucrative" ya Mo Ibrahim. Endapo atashinda tuzo hii, Tanzania itaingia kwenye nafasi nzuri sana kidemokrasia na hali za maisha ya watu.

Ni jukumu letu sote kuendelea kumkumbusha pale atakapoonekana kukengeuka na kuacha roadmap ya kumpa tuzo hii. Mama anaweza
 
Attachments

  • IMG_0462.MP4
    1.9 MB

Uko sahihi 100%
 
Labda tuzo za Mo xtra, Mo energy, Mo Dewji, Mo simba, Mo Arena, nk.
 
Labda Mo - Ibrahim aliyekuwa Simba Sports.
 
Back
Top Bottom