Je, Rais Samia kawa-win USA?

Je, Rais Samia kawa-win USA?

jitombashisho

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2020
Posts
667
Reaction score
2,245
Kuna kila dalili Rais Samia kawaweka kwapwani USA.

Ukimya wa USA hasa kipindi hiki Mbowe akiwa analiwa na kunguni unatafakarisha kwa haja.

Pamoja na mbwembwe zote wanazo fanya wale wana Kili na chama chao lakini wapi USA kakaa kimya!

CHADEMA shitukeni huenda kombe si lenu tena.
 
Mkuu interest ya Marekani kwa Tanzania ni kubwa kuliko Chadema & Mbowe. Wakati wa awamu ya Tano mahusiano yetu na Marekani hayakuwa mazuri kumbuka mara Rais Magufuli alipoingia madarakani kuna maseneta walikuja kuonana naye lakini alikataaa kukutana nao hii ndio ilianza kuleta dosari.

Rais wa awamu ya nne Jakaya Kikwete alikuwa na mahusiano mazuri na jamaa na uhakika underground Mheshimiwa huyu anamsaidia Rais Samia Suluhu katika kurejesha mahusiano na wa Marekani.

Kitu kingine Marekani inapambana na influence ya China hapa Africa haiwezei kuona serikali ya awamu ya sita ikiingia mahusiano ya karibu na China.
 
Unavyofikiri

Akili yako iweke sawa.
1. Huko nyuma kuna wakati USA ilikuwa ina ukaribu na Chadema? Leta ushahidi wa hilo? Ssa hii ya USA kuiacha CDM unaitoa wapi? 2. Kumewahi kuwa na MoU yoyote kati ya CDM na USA? ambayo sasa haipo?

3. Ukitaka kumaliza ubishi, weka uchaguzi huru na haki tumalize ubishi.
 
Marekani huwa anaangalia maslahi yake.Kama maslahi yake hayajaguswa huwa haangaiki na mtu hata kama kuna mauaji ya kimbari yanafanyika.

Bwana Chato aligusa maslahi mengi sana ya marekani ndiyo maana marekani akajifanya kuwa anatetea demokrasia.Bwana chato pia aliliwa kichwa na marekani in case ulikuwa hujui.

Huyu Mama wa kambo watoto wake wa kuwazaa ni marekani na watoto wake wa kambo ni Watanzania in case ulikuwa hujui.
 
Huna hoja dada jitombashisho . CNN & Al Jazeera walipotangaza kukamatwa kwa Mbowe mlilalamika na kudai kuingiliwa mambo ya ndani . Leo unawazodoa CHADEMA wanaofanya siasa za kistaarabu kwa kuwabambika ugaidi ?! Kisa US wako against ugaidi !! Mmeshindwa siasa za hoja na kuanza kutumia nguvu za magereza na vyombo vya Dola !!

Hoja hujibiwa kwa hoja . Si kunyamazishana
 
Marekani ni wanafiki sana.

Kama mama amewapa wanachokitaka na nadhani lazima itakua hivyo basi hua hawapendi kuwaudhi wale viongozi wanaowapa wanachokitaka.

Ila wasipopewa wanachokitaka utaona kila siku matamko ya ukiukwaji wa kidemokrasia.

Kagame anawatesa wapinzani lakini hujawahi kusikia amegombana na Wamarekani kwa sababu anawapa wanachokitaka.
 
yaani USA washughulike na viongozi wa chadema!
 
Kuna kila dalili Rais Samia kawaweka kwapwani USA.

Ukimya wa USA hasa kipindi hiki Mbowe akiwa analiwa na kunguni unatafakarisha kwa haja.

Pamoja na mbwembwe zote wanazo fanya wale wana Kili na chama chao lakini wapi USA kakaa kimya!
Chadema shitukeni huenda kombe si lenu tena.
Awamu hii inatumia akili nyingi sana kuliko nguvu. Maarifa kwa wingi, ukienda kichwa kichwa unaumia bila kutegemea. Kuwa mustaarabu fuata sheria hakuna tatizo.

ila usijidanganye ukajiachia ukadhani kitonga!! imekula kwako.
 
Awamu hii inatumia akili nyingi sana kuliko nguvu.
maarifa kwa wingi, ukienda kichwa kichwa unaumia bila kutegemea.
kuwa mustaarabu fuata sheria hakuna tatizo.

Well said mkuu very soon utaona hao wanaotoa matusi dhidi ya serikali hawataweza kufanya hivyo ( tweeter)
 
Kuna kila dalili Rais Samia kawaweka kwapwani USA.

Ukimya wa USA hasa kipindi hiki Mbowe akiwa analiwa na kunguni unatafakarisha kwa haja.

Pamoja na mbwembwe zote wanazo fanya wale wana Kili na chama chao lakini wapi USA kakaa kimya!

Chadema shitukeni huenda kombe si lenu tena.
@chanjo ishapita kwa ivo hakuna tabu

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Marejani inawatu wenye akili sana kuliko CCM yote, zaidi yayote inawatu wasio na njaa kuliko CCM wote.
Hawawezi kunyamaza, itakuwa mama anjibembeleza huko kimya kimya.
Ndani ya Sikh chache zijazo tutashuhudia mkubwa.
CCM Italia soon!
 
Mkuu interest ya Marekani kwa Tanzania ni kubwa kuliko Chadema & Mbowe. Wakati wa awamu ya Tano mahusiano yetu na Marekani hayakuwa mazuri kumbuka mara Rais Magufuli alipoingia madarakani kuna maseneta walikuja kuonana naye lakini alikataaa kukutana nao hii ndio ilianza kuleta dosari.

Rais wa awamu ya nne Jakaya Kikwete alikuwa na mahusiano mazuri na jamaa na uhakika underground Mheshimiwa huyu anamsaidia Rais Samia Suluhu katika kurejesha mahusiano na wa Marekani.

Kitu kingine Marekani inapambana na influence ya China hapa Africa haiwezei kuona serikali ya awamu ya sita ikiingia mahusiano ya karibu na China.
Kwa maana hii Bandari ya Bagamoyo haitajengwa tena? Wachina na wao si wataanza figisu figisu zao? Ukumbuke jwtz inapata ufadhili mkubwa tokea china na endapo Wachina watasusa ina maana marekani ataanza kufadhili yeye na ndipo marekani ataanza kujua udhaifu wote kuweka wapelelezi kisha baada kuleta chokochoko kama congo Sudan na Nchi zingine zenye vikundi vya waasi, masilahi makubwa ya marekani ni kuuza vifaa vya kijeshi na ili afanye biashara huwa ni kutengeneza migogoro kote Duniani apate kuuza siraha na kutest siraha mpya kupitia uwanja wa vita
 
Huna hoja dada jitombashisho . CNN & Al Jazeera walipotangaza kukamatwa kwa Mbowe mlilalamika na kudai kuingiliwa mambo ya ndani . Leo unawazodoa Cdm wanaofanya siasa za kistaarabu kwa kuwabambika ugaidi ?! Kisa US wako against ugaidi !! Mmeshindwa siasa za hoja na kuanza kutumia nguvu za magereza na vyombo vya Dola !!

Hoja hujibiwa kwa hoja . Si kunyamazishana
Jinsi CCM inavyo tegemea jeshi, haiwezi kulikoromea jeshi litafanya litajavyo mn nguvu ya CCM ipo jeshini na sio kwa wananchi. Itakuwa mama anahangaika kulitetea.
 
Marejani inawatu wenye akili sana kuliko CCM yote, zaidi yayote inawatu wasio na njaa kuliko CCM wote.
Hawawezi kunyamaza, itakuwa mama anjibembeleza huko kimya kimya.
Ndani ya Sikh chache zijazo tutashuhudia mkubwa.
CCM Italia soon!
Nchi imekaa na Amani marekani huwa hapendi Nchi zenye Amani huwa anapenda vurugu apate pa kuuza siraha
 
Awamu hii inatumia akili nyingi sana kuliko nguvu.
maarifa kwa wingi, ukienda kichwa kichwa unaumia bila kutegemea.
kuwa mustaarabu fuata sheria hakuna tatizo.
ila usijidanganye ukajiachia ukadhani kitonga!! imekula kwako.
Issue sio kufuata sheria bali kuacha nchi iharibike. Ukiitetea nchi dhidi ya wabadhilifu hawa, utakutana na mkono wa dola
 
Jinsi CCM inavyo tegemea jeshi, haiwezi kulikoromea jeshi litafanya litajavyo mn nguvu ya CCM ipo jeshini na sio kwa wananchi. Itakuwa mama anahangaika kulitetea.
Wakiruhusu marekani kujipenyeza huko wajue wamekaribisha shida kubwa kwani watapenyeza wapelelezi wao humo waje kuleta tabu baadae
 
Kuna kila dalili Rais Samia kawaweka kwapwani USA.

Ukimya wa USA hasa kipindi hiki Mbowe akiwa analiwa na kunguni unatafakarisha kwa haja.

Pamoja na mbwembwe zote wanazo fanya wale wana Kili na chama chao lakini wapi USA kakaa kimya!

Chadema shitukeni huenda kombe si lenu tena.
wewe kwani yule Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Bass ile statement ulitoa wewe acha ujinga
 
Back
Top Bottom