jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Mkuu interest ya Marekani kwa Tanzania ni kubwa kuliko Chadema & Mbowe. Wakati wa awamu ya Tano mahusiano yetu na Marekani hayakuwa mazuri kumbuka mara Rais Magufuli alipoingia madarakani kuna maseneta walikuja kuonana naye lakini alikataaa kukutana nao hii ndio ilianza kuleta dosari.
Huyu Mama wa kambo watoto wake wa kuwazaa ni marekani na watoto wake wa kambo ni Watanzania in case ulikuwa hujui.
Awamu hii inatumia akili nyingi sana kuliko nguvu. Maarifa kwa wingi, ukienda kichwa kichwa unaumia bila kutegemea. Kuwa mustaarabu fuata sheria hakuna tatizo.Kuna kila dalili Rais Samia kawaweka kwapwani USA.
Ukimya wa USA hasa kipindi hiki Mbowe akiwa analiwa na kunguni unatafakarisha kwa haja.
Pamoja na mbwembwe zote wanazo fanya wale wana Kili na chama chao lakini wapi USA kakaa kimya!
Chadema shitukeni huenda kombe si lenu tena.
Well said mkuu very soon utaona hao wanaotoa matusi dhidi ya serikali hawataweza kufanya hivyo ( tweeter)Awamu hii inatumia akili nyingi sana kuliko nguvu.
maarifa kwa wingi, ukienda kichwa kichwa unaumia bila kutegemea.
kuwa mustaarabu fuata sheria hakuna tatizo.
ila usijidanganye ukajiachia ukadhani kitonga!! imekula kwako.
@chanjo ishapita kwa ivo hakuna tabuKuna kila dalili Rais Samia kawaweka kwapwani USA.
Ukimya wa USA hasa kipindi hiki Mbowe akiwa analiwa na kunguni unatafakarisha kwa haja.
Pamoja na mbwembwe zote wanazo fanya wale wana Kili na chama chao lakini wapi USA kakaa kimya!
Chadema shitukeni huenda kombe si lenu tena.
Kwa maana hii Bandari ya Bagamoyo haitajengwa tena? Wachina na wao si wataanza figisu figisu zao? Ukumbuke jwtz inapata ufadhili mkubwa tokea china na endapo Wachina watasusa ina maana marekani ataanza kufadhili yeye na ndipo marekani ataanza kujua udhaifu wote kuweka wapelelezi kisha baada kuleta chokochoko kama congo Sudan na Nchi zingine zenye vikundi vya waasi, masilahi makubwa ya marekani ni kuuza vifaa vya kijeshi na ili afanye biashara huwa ni kutengeneza migogoro kote Duniani apate kuuza siraha na kutest siraha mpya kupitia uwanja wa vitaMkuu interest ya Marekani kwa Tanzania ni kubwa kuliko Chadema & Mbowe. Wakati wa awamu ya Tano mahusiano yetu na Marekani hayakuwa mazuri kumbuka mara Rais Magufuli alipoingia madarakani kuna maseneta walikuja kuonana naye lakini alikataaa kukutana nao hii ndio ilianza kuleta dosari.
Rais wa awamu ya nne Jakaya Kikwete alikuwa na mahusiano mazuri na jamaa na uhakika underground Mheshimiwa huyu anamsaidia Rais Samia Suluhu katika kurejesha mahusiano na wa Marekani.
Kitu kingine Marekani inapambana na influence ya China hapa Africa haiwezei kuona serikali ya awamu ya sita ikiingia mahusiano ya karibu na China.
Jinsi CCM inavyo tegemea jeshi, haiwezi kulikoromea jeshi litafanya litajavyo mn nguvu ya CCM ipo jeshini na sio kwa wananchi. Itakuwa mama anahangaika kulitetea.Huna hoja dada jitombashisho . CNN & Al Jazeera walipotangaza kukamatwa kwa Mbowe mlilalamika na kudai kuingiliwa mambo ya ndani . Leo unawazodoa Cdm wanaofanya siasa za kistaarabu kwa kuwabambika ugaidi ?! Kisa US wako against ugaidi !! Mmeshindwa siasa za hoja na kuanza kutumia nguvu za magereza na vyombo vya Dola !!
Hoja hujibiwa kwa hoja . Si kunyamazishana
Nchi imekaa na Amani marekani huwa hapendi Nchi zenye Amani huwa anapenda vurugu apate pa kuuza sirahaMarejani inawatu wenye akili sana kuliko CCM yote, zaidi yayote inawatu wasio na njaa kuliko CCM wote.
Hawawezi kunyamaza, itakuwa mama anjibembeleza huko kimya kimya.
Ndani ya Sikh chache zijazo tutashuhudia mkubwa.
CCM Italia soon!
Issue sio kufuata sheria bali kuacha nchi iharibike. Ukiitetea nchi dhidi ya wabadhilifu hawa, utakutana na mkono wa dolaAwamu hii inatumia akili nyingi sana kuliko nguvu.
maarifa kwa wingi, ukienda kichwa kichwa unaumia bila kutegemea.
kuwa mustaarabu fuata sheria hakuna tatizo.
ila usijidanganye ukajiachia ukadhani kitonga!! imekula kwako.
Wakiruhusu marekani kujipenyeza huko wajue wamekaribisha shida kubwa kwani watapenyeza wapelelezi wao humo waje kuleta tabu baadaeJinsi CCM inavyo tegemea jeshi, haiwezi kulikoromea jeshi litafanya litajavyo mn nguvu ya CCM ipo jeshini na sio kwa wananchi. Itakuwa mama anahangaika kulitetea.
wewe kwani yule Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Bass ile statement ulitoa wewe acha ujingaKuna kila dalili Rais Samia kawaweka kwapwani USA.
Ukimya wa USA hasa kipindi hiki Mbowe akiwa analiwa na kunguni unatafakarisha kwa haja.
Pamoja na mbwembwe zote wanazo fanya wale wana Kili na chama chao lakini wapi USA kakaa kimya!
Chadema shitukeni huenda kombe si lenu tena.