Je, Rais Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Awamu ya Tano au ya Sita kwa mujibu wa Katiba ya nchi?

Alikuwa NEC
 
Sioni tatizo ,hata hiyo moja isipochapishwa maana wananchi wanamuelewa sana mama.
 
Hilo jambo hata sisi chawa limetutatiza. Kama ni awamu ya kwanza ilipaswa tufanye uchaguzi baada ya Dkt Magufuli kufariki.
 
Hao wazee in WAHUNI, Ndugu Humphrey Polepole Alisha wazungumzia kitambo
 
Ina maana kama hawataki mama apate mshindani aliehai Bas atapata mshindani asie na uhai na huyo mshindani atamlazimisha afanane nae ili wote waweze kufanana wasiwe hai Kwa pamoja!!!
 
Wanajua kabisa kukiwa na fomu mbili Saa100 ataangukia pua.Wanambeba mgombea ambaye hana sifa.Wakati ule walikuwa wanadai kwamba mgombea uraisi lazima awe shahada moja au zaidi.Mpaka Mrema akaenda kusoma na alipoipata tu wakawa kimya kuhusu elimu ya mgombea uraisi kuwa na sifa hiyo ya elimu.Huyo anayepigiwa debe hiyo ya elimu hana.Au wakati ule mlikuwa mnamuona Mrema ni tishio kwenu ?.
 
We huoni sisi kama chama tumeamua kumpa Doctorate za mchongo Kila siku ni PhDs!!?akikohoa TU tunamtwanga Phd nyingine!yaani kavuka viwango kutoka diploma Hadi PhD za heshima bila degree Wala masters!!chama kikiamua kumfanya zuzu anakua zuzu kweli kweli!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…