Je, Rais wa China yupo Kizuizini kwa Uangalizi wa Jeshi?

Itakuwa onyo zuri kwa madikteta wengine kwamba mwisho wao unaweza kuwa mbaya sana.
Kuwekwa kizuizini na PLA inakuwa vipi onyo kwa madikteta wengine ? Na hao watakao muweka kizuizi unawafahamu ?
 
Et mwandishi ana-amini.Yaani huyo mwandishi wa BBC anataka tusome anayoamini, mambo ya IMANI yaani kuhusu China na Xi...??
Ataendelea na ndoto za alinacha
Vyombo hivi vya habari vya magharibi sometimes huwa vina shida mahala
 
Ukiona habari kutoka China imevuja basi jua inaweza kuwa ya kweli. Rejea Jack Ma
 
Mkuu China ishavurugwa
 
Huyo jamaa tangu aseme Ukraine itaishinda Urusi na Putin atakufa nilianza kuona kabisa ana changamoto ya afya ya akili ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
USA USA USA USA USA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ ๐ŸŒŽ USA USA... CHEZEA VINGINE SIO CIA NA MOSSAD... KATA KICHWA CHA NYOKA MWILI UTAOZA WENYEWE.... PUTIN ANACHIMBA KABURI LAKE KIMYA KIMYA
Wewe jamaa huwaga unakurupuka sana.
Haya Sasa Leo umehamia kwa china.
Haya hebu tuambie Putin kafa au Yuko hai?
Ulisema atakufa mara TU alipoanzisha SMO.
Wewe jamaa hua mjingamjinga fulani hivi
 
USA USA USA USA USA ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ ๐ŸŒŽ USA USA... CHEZEA VINGINE SIO CIA NA MOSSAD... KATA KICHWA CHA NYOKA MWILI UTAOZA WENYEWE.... PUTIN ANACHIMBA KABURI LAKE KIMYA KIMYA
Halafu mlivyo wajinga kama ni kweli USA imesababisha machafuko kwa nchi nyingine je hiyo ndio demokrasia? Au ustaarabu ambao west hua wanauhubiri?
Ingekua nchi kama Urusi, Korea kasakazini na Iran zimesababisha. Tahariki Kwa nchi nyingine mngesema ni Mataifa ya kigaidi,vichaa na Mataifa ya kiimla,lkn Kwa kwa vile mko watupu na wemeza uchafu wowote toka west mnasifia .
Hivyo kabisa wewe.
Marekani inapeleka machafuko nchi nyingine mnaisifia bure kabis wewe.
 
Kama china wakabadili mfumo wao wa utawala kuanzia jeshini basi kuna uwezekano mkubwa sana na Tanzania pia yakatokea mabadiliko makubwa kwenyebitawala hasa mahusiano ya jeshi na viongozi wa serikali.
Tuombee yatokee kuanzia januari mosi mwakani ili tuanze upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ