Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Mlidhani kuikimbia Azam NI dawa?Habari jf ,hii ni Ratiba ya viporo ya Simba ScView attachment 2886973
Kuna shida ghan hapo?!Habari jf ,hii ni Ratiba ya viporo ya Simba ScView attachment 2886973
Ulikua mshika kibendera wakati wanaikimbia?Mlidhani kuikimbia Azam NI dawa?
Hiyo sio ratiba ya viporo vya Simba pekee bali ndio ratiba ya ligi kuu na imepangwa kwa timu zote.Habari jf ,hii ni Ratiba ya viporo ya Simba ScView attachment 2886973
Ratiba na afya ni wapi na wapi?Habari jf ,hii ni Ratiba ya viporo ya Simba ScView attachment 2886973
Mechi 5 siku 13 umepataje? Simba na Yanga wote watacheza kila baada ya siku tatu. Hivyo katika siku 10(February 3-12) simba itacheza michezo minne. Hivyo hivyo kwa Yanga nao katika siku 10( February 2-11) watacheza michezo minne. Sasa mnalalamika kipi hapo?Tuliposema TFF ni Wahuni mkawatetea, Mechi ya Tanzania na Tanzania B ilikuwa na faida gani kama si kuumiza timu? Simba ina Mechi 5 ndani ya siku 13.
Pitia fixture vizuri mkuu, hii ratiba haijaikandamiza Simba. Tatizo mleta uzi kaandika uzi akijua ratiba ipo hivyo kwa Simba pekee. Ila ratiba ipo hivyo hivyo hata kwa Yanga wote wanacheza idadi sawa ya mechi na pia watacheza kwa gap la siku sawasawa.Tuliposema TFF ni Wahuni mkawatetea, Mechi ya Tanzania na Tanzania B ilikuwa na faida gani kama si kuumiza timu? Simba ina Mechi 5 ndani ya siku 13.
Habari jf ,hii ni Ratiba ya viporo ya Simba ScView attachment 2886973
Hata kama viporo vinapangwa vizuriKuna shida ghan hapo?!
Ww mwenyewe ushasema viporo?
Mleta mada kaweka Simba kama reference. Hakuna popote nikipoonyesha nalalamika sababu Simba ana ratiba ngumu peke yake. Unaniuliza nimepataje Mechi 5 ndani ya siku 13? January 31 Simba anaanza FA kabla ya Feb 3 kuendeleza ligi.Mechi 5 siku 13 umepataje? Simba na Yanga wote watacheza kila baada ya siku tatu. Hivyo katika siku 10(February 3-12) simba itacheza michezo minne. Hivyo hivyo kwa Yanga nao katika siku 10( February 2-11) watacheza michezo minne. Sasa mnalalamika kipi hapo?
Kitendo cha kusema Simba ndani siku 13 ana michezo 5 ni wazi ulishangaa ya Simba hukujipa wasaa kuangalia ratiba kwa timu zingine pia wakati kimsingi hakukuwa na tofauti baina yao.Mleta mada kaweka Simba kama reference. Hakuna popote nikipoonyesha nalalamika sababu Simba ana ratiba ngumu peke yake. Unaniuliza nimepataje Mechi 5 ndani ya siku 13? January 31 Simba anaanza FA kabla ya Feb 3 kuendeleza ligi.
Kwan utakua sehemu yakikosi mkuu?Hata kama viporo vinapangwa vizuri
Inachosha kushangilia kila sikuKwan utakua sehemu yakikosi mkuu?