Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Hakuna mahali nimelalamika Simba kupendelewa. Nimemsapoti mleta mada Kwa hoja yake ya ratiba kutokuwa na Afya Kwa timu na ameitaja timu yake ya Simba. Wewe hukuzuiwa kuitaja Yanga yako.Kitendo cha kusema Simba ndani siku 13 ana michezo 5 ni wazi ulishangaa ya Simba hukujipa wasaa kuangalia ratiba kwa timu zingine pia wakati kimsingi hakukuwa na tofauti baina yao.
Yanga anacheza tarehe 30 FA Dar kisha tarehe 2 anatakiwa Kaitaba acheze na Kagera. Na anacheza back to back michezo minne ya ligi kila baada ya siku tatu. Kuna tofauti gani na Simba hapo?