Je ratiba kama hii ina afya kwa timu husika ?

Hakuna mahali nimelalamika Simba kupendelewa. Nimemsapoti mleta mada Kwa hoja yake ya ratiba kutokuwa na Afya Kwa timu na ameitaja timu yake ya Simba. Wewe hukuzuiwa kuitaja Yanga yako.
 
Ratiba ya kawaida wacha wacheza... Timu zinapoachwa kwa mechi za kimataifa mbona hatukalamiki?. Mbovu apotee Maxima...
 
Hakuna shida hapo..hao wachezaji hiyo ndio kazi yao na kuna wachezaji wasiopungua 30.
We mtoa Uzi acha kuyasema yasiyokuhusu.
 
Hebu fatilia ratiba ya mashujaa then uone ratiba ipi ngumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…