Je, risasi za bunduki uwa zina mwisho wa matumizi(Expiry)?

Je, risasi za bunduki uwa zina mwisho wa matumizi(Expiry)?

Nyaka-One

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2013
Posts
4,730
Reaction score
6,736
Wajuzi wa mambo swali langu lipo wazi sana. Je, risasi za bunduki ndogo au kubwa kama bastola, shotgun, rifle, SAR, SMG, AK 47 na zote nyinginezo uwa zina expiry date kiasi kwamba kama umezitunza na zisipotumika ndani ya muda huo mfano miaka 10 au 20 zinaweza kulipuka na kuleta majanga ndani ya nyumba au armoury?
 
Kuna kitu kinaitwa Design period
Halafu kuna kitu kinaitwa Design life of a certain product

Ubora na kudumu kwa bidhaa unategemeana sana na aina ya material iliyotumika kuundia pamoja na teknolojia iliyohusika kuunda hicho kifaa

Kwa sisi ma Industrial Engineer tunakuwa tumesha estimate design life ya hiyo product pale ambapo itakuwa kinatumika au bila kutumika

So, yes bunduki na risasi zina expire date.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hazina kutoka google
Screenshot_20200328-180136_Google.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa swali lko jibu ni kwamba ndio zina expire lakini ku expire kwake bado inafanya kazi na haiwezi kujilipua yenyewe may be bomb zinaweza kuwa na madhara hayo uliosema ila sio bullets

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom