Nyaka-One
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 4,730
- 6,736
Wajuzi wa mambo swali langu lipo wazi sana. Je, risasi za bunduki ndogo au kubwa kama bastola, shotgun, rifle, SAR, SMG, AK 47 na zote nyinginezo uwa zina expiry date kiasi kwamba kama umezitunza na zisipotumika ndani ya muda huo mfano miaka 10 au 20 zinaweza kulipuka na kuleta majanga ndani ya nyumba au armoury?