Je, RITA wameshaanza kuhakiki vyeti vya kuzaliwa kwa wanaojiandaa kuomba mkopo HESLB?

Mgiriki MTz

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
330
Reaction score
270
Habari wana jf,

Husika na kichwa cha uzi naomba kujua kama RITA wameshaanza uhakiki wa vyeti kwa njia ya mtandao kwa vijana wanaojiandaa kuomba mkopo HESLB?

Pia naomba kujua kama bodi ya mikopo,HESLB kama tayari wameshatoa vigezo vitakavyotumika mwaka huu?

Nawasilishà.

#jEshi.
 
hivi hawa RITA hizi server zao ziko monitored na pierre nini?

mbona nime request ombi langu la uhakiki lakini leo siku ya tatu nimewekwa pending naambiwa waiting for paymants list, nyie wenzangu hii changamoto mnai-solve vipi?
 
Unatakiwa ulipie hapo
 
Unatakiwa ulipie hapo
kabla hata control number haijaja nimepigwa pending
Capture.JPG
 
Mi bado sijaelewa hapo palipoandikwa waiting for payment list ndo naweka nini maana nimelipa kwa simu sio benki
Nisaidieni wadau
 
Attachments

  • IMG_20200727_075448.JPG
    IMG_20200727_075448.JPG
    21.2 KB · Views: 21
Mbna umesema umeshatuma ombi lako hapo bado hujatuma chochote .. hakikisha unatuma upya halafu utapewa control number ulipie mapema maana control number inakaa masaa 24 tu usipo lipia inaondoka
mpaka uvuke hiyo stage ya waiting payments list ndio utapewa control number kwa ajili ya kulipia.

ishu ni kwamba wanachukua muda mrefu kukuletea hizo list, imagine leo naenda siku ya tatu hakuna payments list niliyowekewa
 
Hv hyo Payments risit ni mini mkuu.. Maana hats kwangu naona Ila nilishatuma nakulipia mojakwamoja
 
Kijana ukishamaliza tu kujaza ile fomu na ku appload Cheti unaletewa control number Na inakuwa kwenye waiting for payment .. huwezi kaa siku tatu hujapata control number.. changamka kijana
 
ngoja kwanza tuwekane sawa nahisi kuna mahala hatujaelewana

ukiingia kwenye site ya RITA ni wazi kwamba hauwezi kufanya chochote mpaka ufungue account au u-log in. Sasa hapa kwa mtu ambaye hakuwahi kua na accoint ni lazima afungue account ambayo itakua ina username itakayokua ina-display kama jina lake

sasa kumbuka bado niko hapo hapo kwenye swala la kufungua accounts, zoezi lake likikamilika tu hapo hapo unaambiwa waiting payments lists na hapo hutaweza fanya chochote maaana control number haujatumiwa bado maana ndiyo ipo kwenye payment list ambayo umeambiwa usubirie

changamoto kubwa imekua ucheleweshwaji wa hizo list za malipo, siku ya tatu hakuna approval wala changes yeyote na kuna sometimes ukifungua site yao inakuambia page error
Capture.JPG
Capture.JPG
 
Hv hyo Payments risit ni mini mkuu.. Maana hats kwangu naona Ila nilishatuma nakulipia mojakwamoja
payments list ni-vinyaraka flani hivi vilivyoambatana na control number ambayo utaitumia kulipia gharama ya ku-verify cheti chako cha kuzaliwa ambasyo gharama yao ni 3000
 
ngoja kwanza tuwekane sawa nahisi kuna mahala hatujaelewana

ukiingia kwenye site ya RITA ni wazi kwamba hauwezi kufanya chochote mpaka ufungue account au u-log in. Sasa hapa kwa mtu ambaye hakuwahi kua na accoint ni lazima afungue account ambayo itakua ina username itakayokua ina-display kama jina lake

sasa kumbuka bado niko hapo hapo kwenye swala la kufungua accounts, zoezi lake likikamilika tu hapo hapo unaambiwa waiting payments lists na hapo hutaweza fanya chochote maaana control number haujatumiwa bado maana ndiyo ipo kwenye payment list ambayo umeambiwa usubirie

changamoto kubwa imekua ucheleweshwaji wa hizo list za malipo, siku ya tatu hakuna approval wala changes yeyote na kuna sometimes ukifungua site yao inakuambia page errorView attachment 1518253View attachment 1518253

Narudia tena changamka kaka .. utachelewa sana kutuma maombi yako .. hapo hujaomba uhakiki bado umefungua account tu .. minya hiyo sidebar halafu chagua birth certificate halafu verification birth certificate halafu Apply .. then jaza fomu maliza appload cheti then view application yako ..utaona control number yako imewekwa hapo kwenye waiting for payment halafu lipia then itaenda hapo kwenye list of payed application

Narudia tena changamka kaka .. na ukumbuke inachukua siku kumi kujibiwa ..
 
Ngoja kwanza feed-back inakuja baadae
 
Wale wote wanaotaka kuomba mkopo (HESLB) Na wanaotaka kuomba vyuo mbali mbali.
- Nipo kuwasaidia wale wote wenye uhitaji wa ku apply mkopo na chuo. Au kuwaongoza hatua baada ya hatua jinsi ya ku apply.
- Vyote hivyo kuanzia mwanzo mpaka kukamilika nakufanyia kwa bei poa ya elfu tano tu (5,000/= tu)
- Huku nikikupatia na username pamoja na password zako kujihakikishia nilichofany na kuangalia account yko pale itakapohitajika.
- Huduma hii ni kwa wote/popote ulipo ndani ya Tanzania hii. Kila kitu kitaenda sawa. Maan nimepata maswali mengi kwa walio mikoani.
- Nitafute whatsapp au sms za kawaida kupitia namba hizi 0734131743.
- Vitu vyote vinavyohitajika wakati wa uombaji mkopo na chuo nitakueleza ukinitafuta kupitia namba izo apo.
NYOTE MNAKARIBISHWA
 
Narudia tena changamka kaka .. na ukumbuke inachukua siku kumi kujibiwa .........

duh kweli kasheshe nikazani ni kwa siku tatu imezid sana wiki kama ilivyokuwa mwanzo kumbe 10days kbs inabd niwe mpole
 
Back
Top Bottom