Mgiriki MTz
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 330
- 270
Shukrani.Rita wameshaanza mkuu, unaweza kutuma cheti chako ili kihakikiwe via www.rita.go.tz
Mwenyewe nipo kwenye michakato
Mwanangu uko moto upendi ujinga dah maliza kwanza hii semister bro maana GPA kubwa ndio kila kituRita wameshaanza mkuu, unaweza kutuma cheti chako ili kihakikiwe via www.rita.go.tz
Mwenyewe nipo kwenye michakato
Pamoja kijanaMwanangu uko moto upendi ujinga dah maliza kwanza hii semister bro maana GPA kubwa ndio kila kitu
hivi hawa RITA hizi server zao ziko monitored na pierre nini?
mbona nime request ombi langu la uhakiki lakini leo siku ya tatu nimewekwa pending naambiwa waiting for paymants list, nyie wenzangu hii changamoto mnai-solve vipi?
kabla hata control number haijaja nimepigwa pendingUnatakiwa ulipie hapo
kabla hata control number haijaja nimepigwa pendingView attachment 1517550
mpaka uvuke hiyo stage ya waiting payments list ndio utapewa control number kwa ajili ya kulipia.Mbna umesema umeshatuma ombi lako hapo bado hujatuma chochote .. hakikisha unatuma upya halafu utapewa control number ulipie mapema maana control number inakaa masaa 24 tu usipo lipia inaondoka
Hv hyo Payments risit ni mini mkuu.. Maana hats kwangu naona Ila nilishatuma nakulipia mojakwamojampaka uvuke hiyo stage ya waiting payments list ndio utapewa control number kwa ajili ya kulipia.
ishu ni kwamba wanachukua muda mrefu kukuletea hizo list, imagine leo naenda siku ya tatu hakuna payments list niliyowekewa
mpaka uvuke hiyo stage ya waiting payments list ndio utapewa control number kwa ajili ya kulipia.
ishu ni kwamba wanachukua muda mrefu kukuletea hizo list, imagine leo naenda siku ya tatu hakuna payments list niliyowekewa
ngoja kwanza tuwekane sawa nahisi kuna mahala hatujaelewanaKijana ukishamaliza tu kujaza ile fomu na ku appload Cheti unaletewa control number Na inakuwa kwenye waiting for payment .. huwezi kaa siku tatu hujapata control number.. changamka kijana
payments list ni-vinyaraka flani hivi vilivyoambatana na control number ambayo utaitumia kulipia gharama ya ku-verify cheti chako cha kuzaliwa ambasyo gharama yao ni 3000Hv hyo Payments risit ni mini mkuu.. Maana hats kwangu naona Ila nilishatuma nakulipia mojakwamoja
ngoja kwanza tuwekane sawa nahisi kuna mahala hatujaelewana
ukiingia kwenye site ya RITA ni wazi kwamba hauwezi kufanya chochote mpaka ufungue account au u-log in. Sasa hapa kwa mtu ambaye hakuwahi kua na accoint ni lazima afungue account ambayo itakua ina username itakayokua ina-display kama jina lake
sasa kumbuka bado niko hapo hapo kwenye swala la kufungua accounts, zoezi lake likikamilika tu hapo hapo unaambiwa waiting payments lists na hapo hutaweza fanya chochote maaana control number haujatumiwa bado maana ndiyo ipo kwenye payment list ambayo umeambiwa usubirie
changamoto kubwa imekua ucheleweshwaji wa hizo list za malipo, siku ya tatu hakuna approval wala changes yeyote na kuna sometimes ukifungua site yao inakuambia page errorView attachment 1518253View attachment 1518253
Mi bado sijaelewa hapo palipoandikwa waiting for payment list ndo naweka nini maana nimelipa kwa simu sio benki
Nisaidieni wadau
Ngoja kwanza feed-back inakuja baadaeNarudia tena changamka kaka .. utachelewa sana kutuma maombi yako .. hapo hujaomba uhakiki bado umefungua account tu .. minya hiyo sidebar halafu chagua birth certificate halafu verification birth certificate halafu Apply .. then jaza fomu maliza appload cheti then view application yako ..utaona control number yako imewekwa hapo kwenye waiting for payment halafu lipia then itaenda hapo kwenye list of payed application
Narudia tena changamka kaka .. na ukumbuke inachukua siku kumi kujibiwa ..