Walichanganyikuwa Hadi wakasahau kuweka SIWA,Halikuwepo, kwa kiswahili inaitwa siwa.
Ndo maana Bunge likikaa kama kamati japokuwa ni ukumbi huohuo Siwa inatolewa na kuwekwa kwenye kabati na kipindi hicho kunakuwa hakuna Spika ila mtu huyohuyo ambaye dakika chache aliitwa Spika ghafla anaitwa Mwenyekiti.Kwahio rungu lina thaman kuliko Ndugai
Siwa liko pale kwa mujibu wa sheria na kanuni; no one is supposed to be above the law. Mamlaka ya Spika yanakamilika in the presence of Siwa.Kwahio rungu lina thaman kuliko Ndugai
Walichanganyikuwa Hadi wakasahau kuweka SIWA,
Kumbuka SIWA ndiyo bunge,Kama hakuna SIWA hakuna bunge,
Leo baada ya kujua walisahau kuweka siwa ,wanajuta.
Bila kuwepo SIWA,maana yake bunge halijakamilika,Kwani siwa huwa linatumika popote?
Kwani siwa huwa linatumika popote?
Hahah, kulikuwa na propellerPale gereji palikuwa na crankshaft ya 504...ilitosha kuwakilisha mamlaka ya bunge
Nasikia tokea limeingizwa bungeni halijawahi toka.Kwahio rungu lina thaman kuliko Ndugai
Tusaidie mkuu Bunge ni nini?Inshort pale gereji walipoapishwa hao waasi hapakua na sifa yoyote ya kuitwa bunge.
mambo mengine yapo kimila mle. Huenda rungu ni jini yule lazma asujudiwe kabla ya biashara zingine kuendelea.Nasikia tokea limeingizwa bungeni halijawahi toka.
Mzee Halima ndiyo alikuwa akishughulika na vipaza sautiInshort pale gereji walipoapishwa hao waasi hapakua na sifa yoyote ya kuitwa bunge.
Mbona akiwa anapita mitaani anatambulika ni Spika mkuu? Kwa taarifa yako Spika akishachaguliwa na wabunge anakuwa Spika haijarishi iwepo SIWA ama la. Ila kama ungeniambia Mkutano wa Bunge lazima iwepo hiyo SIWA at least ningekuamini kwa mbaliii nikibukua sheria hapa ili kujua maana ya Bunge kisheria ni nini? Lakini naamini wanasheria walioko Ofisi ya Bunge watakuwa wanajua zaidi yetu ndiyo maana waliamua hivyo.Siwa liko pale kwa mujibu wa sheria na kanuni; no one is supposed to be above the law. Mamlaka ya Spika yanakamilika in the presence of Siwa.
In the absence of Siwa tunamwona Ndugai hatumwoni Spika na kinyume chake.