Je, rungu la Spika wa Bunge (Mace) lilikuwepo wakati akina Halima Mdee wanaapishwa

Je, rungu la Spika wa Bunge (Mace) lilikuwepo wakati akina Halima Mdee wanaapishwa

Kwahiyo hata chumbani kwa spika anaapishwa bora awe mbele spika (siyo ya redio ila mtu)
Boss kanuni ilibadilishwa na bunge la 11 now inasomeka mbunge anatakiwa kuapa mbele ya Spika sio mbele ya bunge mbona ishu ni simple tu?
 
Ibara ya 68 ya katiba inasema hivi;

Kila Mbunge atatakiwa kuapishwa katika Bunge kiapo cha uaminifu kabla hajaanza kushiriki katika shughuli za Bunge; lakini Mbunge aweza kushiriki katika uchaguzi wa Spika hata kabla hajaapishwa....
CCM na Ndugai nafikiri hawakufanya kwa 'bahati mbaya' kuwaapisha hao covid19 pale garage ground.

Hii inanishawishi kuamini hawa 'wasaliti 'wapo katika dangerzone ya kuja kugeukwa badae na mamlaka.
Lets move on..!
 
Kwanini tinaithamini rungu sana akili yetu iko wapi nini maana ya kuwa na rungu ndani ya bunge je ni dini gani imeleta hii rungu kuabudiwa
 
Kuna tofauti ya Bunge na ukumbi wa Bunge

Mbunge sharti aaapishiwe bungeni sio ukumbi wa Bunge

Hata angeapishwa kwny canteen ile ya Bunge bado 'inaswihi tu'
Hao waasi hata mngewaapisha ikulu tungewafukuza tu.

Sasa tayari tumewatimua tunajua watabaki kuwa wabunge wa mataga kaeni nao hapo lumumba wanawafaa mnoo.
 
Nazungumzia execution of the powers of the Speaker of the National Assembly. Hili hufanyika mahali maalum (Bungeni); mbele ya wajumbe wenye sifa maalum (wabunge); na kwa utaratibu maalum (Siwa, kanuni, etc.).
Hata hao wabunge waliapishwa hapo hapo kwenye majengo ya Bunge mkuu!
 
Kuna mawaziri waliapishwa lodge kule chato. Leo wabunge garage kesho sijui itkuwa stendi!!
 
Ibara ya 68 ya katiba inasema hivi;

Kila Mbunge atatakiwa kuapishwa katika Bunge kiapo cha uaminifu kabla hajaanza kushiriki katika shughuli za Bunge; lakini Mbunge aweza kushiriki katika uchaguzi wa Spika hata kabla hajaapishwa...
Rungu ni kitu gani bwana, jamaa wanapoteza hata uhai kwa maslahi yao sembuse hilo rungu....
 
Back
Top Bottom