Boss kanuni ilibadilishwa na bunge la 11 now inasomeka mbunge anatakiwa kuapa mbele ya Spika sio mbele ya bunge mbona ishu ni simple tu?
CCM na Ndugai nafikiri hawakufanya kwa 'bahati mbaya' kuwaapisha hao covid19 pale garage ground.Ibara ya 68 ya katiba inasema hivi;
Kila Mbunge atatakiwa kuapishwa katika Bunge kiapo cha uaminifu kabla hajaanza kushiriki katika shughuli za Bunge; lakini Mbunge aweza kushiriki katika uchaguzi wa Spika hata kabla hajaapishwa....
.........Kwahio rungu lina thaman kuliko Ndugai
Kirungu nkoi muhimu mzee πππKwahio rungu lina thaman kuliko Ndugai
Sehem yoyote ambayo spika atachaguaKwahiyo hata chumbani kwa spika anaapishwa bora awe mbele spika (siyo ya redio ila mtu)
[emoji23]Kwahio rungu lina thaman kuliko Ndugai
Mbona tembo wa Serengeti anathamani kuliko mkazi wa Serengeti?Kwahio rungu lina thaman kuliko Ndugai
Kumbe utopolo tu unaandika hapa!!?Bunge sio gereji.
Hao waasi hata mngewaapisha ikulu tungewafukuza tu.Kuna tofauti ya Bunge na ukumbi wa Bunge
Mbunge sharti aaapishiwe bungeni sio ukumbi wa Bunge
Hata angeapishwa kwny canteen ile ya Bunge bado 'inaswihi tu'
Hata hao wabunge waliapishwa hapo hapo kwenye majengo ya Bunge mkuu!Nazungumzia execution of the powers of the Speaker of the National Assembly. Hili hufanyika mahali maalum (Bungeni); mbele ya wajumbe wenye sifa maalum (wabunge); na kwa utaratibu maalum (Siwa, kanuni, etc.).
Huna maanaInshort pale gereji walipoapishwa hao waasi hapakua na sifa yoyote ya kuitwa bunge.
Haya.Huna maana
Rungu ni kitu gani bwana, jamaa wanapoteza hata uhai kwa maslahi yao sembuse hilo rungu....Ibara ya 68 ya katiba inasema hivi;
Kila Mbunge atatakiwa kuapishwa katika Bunge kiapo cha uaminifu kabla hajaanza kushiriki katika shughuli za Bunge; lakini Mbunge aweza kushiriki katika uchaguzi wa Spika hata kabla hajaapishwa...
Kule ni mbele ya rais. Tofautisha na neno bungeniKuna mawaziri waliapishwa lodge kule chato. Leo wabunge garage kesho sijui itkuwa stendi!!
πππKwahio rungu lina thaman kuliko Ndugai
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kina halima wameapishwa gesti, rungu lilikuwepo ila sio mace