Je, rungu la Spika wa Bunge (Mace) lilikuwepo wakati akina Halima Mdee wanaapishwa

Mdee alishasahau Sheria hata alichosomea hakipo kichwani ndiyo maana hakushitukia mchezo wa kuwaapisha kwenye kichochoro
 
CCM na Ndugai nafikiri hawakufanya kwa 'bahati mbaya' kuwaapisha hao covid19 pale garage ground.

Hii inanishawishi kuamini hawa 'wasaliti 'wapo katika dangerzone ya kuja kugeukwa badae na mamlaka.
Lets move on..!
Uchochoroni ukifanya chochote huwa rahisi kukwepa hata Ndungai anajua hilo ndiyo maana akawapeleka vichochoroni kuapa kihuni huni tu.
 
Mbunge anaapishwa na Spika sio na Bunge.....uwepo Wa Siwa/mace maana yake bunge linaendelea.

Hapakuwa na bunge pale hivyo sio mace haitakiwi kuwepo.

Kanuni ya bunge inasema....sio lazima mbunge aapishiwe bungeni ila ni lazima aapishwe na Spika.
Kuapishwa vichochoroni ni sawa?
 
Boss kanuni ilibadilishwa na bunge la 11 now inasomeka mbunge anatakiwa kuapa mbele ya Spika sio mbele ya bunge mbona ishu ni simple tu?
... kwamba Kanuni za Bunge ziko juu ya Katiba ya nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…