Je Ruto alikuja kutuchora Watanzania, na Bunge letu??

Je Ruto alikuja kutuchora Watanzania, na Bunge letu??

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
40,051
Reaction score
51,217
Ziara ya Rais ruto naweza ita ni usanii wa kizazi hiki.

Alikuja kwa lugha nzuri tukamkaribisha mpaka na Bungeni kwetu.

Akatuambia kwamba yeye anataka refinery ijengwe Tanga.

Kumbe mwenye mradi anataka ajenge Mombasa.

Sasa kwanini alikuja kudanganya Bunge letu.

Bunge legu lipitishe hoja ya kufuta hotuba yake kwenye hansard zetu.

What a liar.
 
Hii itasandia wananchi kupata maji safi na Umeme watu wenye mawazo Kama yako mnatakiwa kufa wote
 
Hii itasandia wananchi kupata maji safi na Umeme watu wenye mawazo Kama yako mnatakiwa kufa wote
Unapaswa kuanza kufa wewe unayesaidiwa kufikiri .
 
Aliwaona viongozi wa ccm kama mabwege hivi akawa anawasanifu huku anawapigia ramli chonganishi
 
Hukuona wakenya walivyocheka siku ile 😀😀😀😀😀
 

Attachments

  • 34f3085b0ffca4eb93720f3f2a1a4a09_1783503776474.mp4
    8.6 MB
Ziara ya Rais ruto naweza ita ni usanii wa kizazi hiki.

Alikuja kwa lugha nzuri tukamkaribisha mpaka na Bungeni kwetu.

Akatuambia kwamba yeye anataka refinery ijengwe Tanga.

Kumbe mwenye mradi anataka ajenge Mombasa.

Sasa kwanini alikuja kudanganya Bunge letu.

Bunge legu lipitishe hoja ya kufuta hotuba yake kwenye hansard zetu.

What a liar.
Sasa hapo utamlilia nani zaidi viongozi wenu?
 
Mimi ni mwana ccm mwenye kadi inayolipiwa mwana chama hai kadi yangu ina miaka 20 mimi ni mzalendo wa nchi yangu sio Kama nyie walamba makalio
Kuna mahali unalamba makalio ila hutaki kuweka wazi tu.

Tunawajua sana sampuli yenu mnaojifanya wazalendo kuliko wengine.

Kumbe mnataka kutupiga.
 
Intellijensia yetu ya TISS ipo bize kujua Bavicha wameficha wapi mapanga huku wenzao wa Kenya wakifanya ujasusi wa kiuchumi kusaidia nchi yao.
Bwana wee hao usiwalaumu kama hujaona ripoti zao.
 
Back
Top Bottom