Je Ruto alikuja kutuchora Watanzania, na Bunge letu??

Ziara ya Rais ruto naweza ita ni usanii wa kizazi hiki.

Alikuja kwa lugha nzuri tukamkaribisha mpaka na Bungeni kwetu.

Akatuambia kwamba yeye anataka refinery ijengwe Tanga.

Kumbe mwenye mradi anataka ajenge Mombasa.

Sasa kwanini alikuja kudanganya Bunge letu.

Bunge legu lipitishe hoja ya kufuta hotuba yake kwenye hansard zetu.

What a liar.

Kwa namna wazo lake lilivyopokelewa, hata mimi nilipata wasiwasi kuwa, tumechemsha....
 
Ziara ya Rais ruto naweza ita ni usanii wa kizazi hiki.

Alikuja kwa lugha nzuri tukamkaribisha mpaka na Bungeni kwetu.

Akatuambia kwamba yeye anataka refinery ijengwe Tanga.

Kumbe mwenye mradi anataka ajenge Mombasa.

Sasa kwanini alikuja kudanganya Bunge letu.

Bunge legu lipitishe hoja ya kufuta hotuba yake kwenye hansard zetu.

What a liar.
Nchi inaendeshwa na wakora
 
Kwa nchi yenye sera mbovu, kufungisha watu ndani, utekaji, mahakama zisizo na meno unafikiri wawekezaji wakubwa watajiachia sana hapa, sio kweli. Jamaa alikuja kama geresha tu ila alishaambiwa kiwanda kitakuwa wapi
 
Elimu mbalimbali ndio changamoto
 
Alafu miwakilishi yetu kule bungeni ikawa inapiga tu makofi hata kwa mambo wasiyoelewa wao ni kupiga tu makofi
Na hawakuishia hapo tu, walienda zaidi kummiminia maneno ya baraka nyingi
 
Attachments

  • 417893cdec50ff381885f9f3d4184f57_1783504089169.mp4
    10.6 MB
Kuna mahali unalamba makalio ila hutaki kuweka wazi tu.

Tunawajua sana sampuli yenu mnaojifanya wazalendo kuliko wengine.

Kumbe mnataka kutupiga.
Kaka nakupiga na nini? 😂😂😂 umenichekesha sana
 
Kwa nchi yenye sera mbovu, kufungisha watu ndani, utekaji, mahakama zisizo na meno unafikiri wawekezaji wakubwa watajiachia sana hapa, sio kweli. Jamaa alikuja kama geresha tu ila alishaambiwa kiwanda kitakuwa wapi
Hivi kuna nchi hapa East africa ina wanasiasa mafisadi kama Kenya??
 
Kama.ni mfuatiliaji mzuri, utagundua kuwa Ruto alikuja kumfundisha huyu wa kwetu kuwa GenZ siyo maadui zetu. Lakini wa kwetu, kwa kutomwelewa, akataka ushirikiano katika kuwatrka GenZ. Akataka, GenZ wa Tz wakienda Kenya, nako watekwe.
 
Lawama zote ziende Kwa intelijensia yetu ya hovyo pamoja circle ya watu wanaomzunguka Rais, ilitakiwa wao wajue mapema Hili suala, once they get a clue Tu tayari wakae chini waje na Options mapema ili Rais naye asiingie mkenge...

Ruto na watu wake walicheza mchezo wakijua kabisa Tanzania haiwezi kukubali, ni sawa na wewe Mimi nije kwako na kukwambia kuwa kuna tajiri atakuja kujenga kisima kwako bila kukupa full picture ya huo mpango automatically utaingia mkenge wa kukataa Kwa madai ya kukataa kupangiwa mambo ya nyumbani kwako so utajadili na mkeo na kuamua kuwa Sisi hatutaki dharau za kutuamulia nini cha kufanya bila kukaa toka mwanzo...So bepari yeye hajui hayo mambo maana ana middle men wake tayari na historia anaijua vizuri namna mambo yanavyoendeshwa nchini.

Kumbuka ule mpango hata Ruto alitaka kufaidika binafsi, so presha za matajiri na wachumia tumbo zikailaza project miguu juu...Kingine Kikubwa tunachokosea ni kutojiandaa na projects kubwa kubwa, nchi hii ilibidi iwe na mikakati namba moja ya kuboresha miundombinu yote Muhimu iwe kwenye Hali na usasa wa Hali ya juu iwe mwekezaji akija Kila kitu Kipo sawa kusiwe na sababu....
 
Ruto alitaka tukatae ili wamchukue wao.

Kajamaa kalikuja na confidence kutupiga.
 
Ziara ya Rais ruto naweza ita ni usanii wa kizazi hiki.

Alikuja kwa lugha nzuri tukamkaribisha mpaka na Bungeni kwetu.

Akatuambia kwamba yeye anataka refinery ijengwe Tanga.

Kumbe mwenye mradi anataka ajenge Mombasa.

Sasa kwanini alikuja kudanganya Bunge letu.

Bunge legu lipitishe hoja ya kufuta hotuba yake kwenye hansard zetu.

What a liar.

Why ruto awe muongo wakati dangote amekuja hapa mara 2?
 
Ziara ya Rais ruto naweza ita ni usanii wa kizazi hiki.

Alikuja kwa lugha nzuri tukamkaribisha mpaka na Bungeni kwetu.

Akatuambia kwamba yeye anataka refinery ijengwe Tanga.

Kumbe mwenye mradi anataka ajenge Mombasa.

Sasa kwanini alikuja kudanganya Bunge letu.

Bunge legu lipitishe hoja ya kufuta hotuba yake kwenye hansard zetu.

What a liar.
Alijifunza kwa haraka akaona manyani ni wengi kuliko watu!
 
hakuna watu wanababakia na kujipendekeza kwa kenya kama ccm ila siku zote huwasema sijui wanaharakati.

angalia kwa mfano raisi Kikwete alimualika Mwai Kibaki na kumpa jina la barabara nzuuri na ndefu mwai kibaki road wakati hakuna kitu mwai kibaki aliwahi kuifanyia tanzagiza isitoshe yeye raisi Kikwete hakuna hata uchochoro nchini kenya uliopewa jina lake.

hivyo hata Ruto hakujialika bali ni ccm ndiyo waliomualika na kumpa hizo privilleges zote, sasa ulitaka akatae kutukuzwa? …
 
1783525243587.png
 
Back
Top Bottom