Mimi sioUnapaswa kuanza kufa wewe unayesaidiwa kufikiri .
Alafu miwakilishi yetu kule bungeni ikawa inapiga tu makofi hata kwa mambo wasiyoelewa wao ni kupiga tu makofiMradi wakaupaisha Kenya.
Sasa hapo utamlilia nani zaidi viongozi wenu?Ziara ya Rais ruto naweza ita ni usanii wa kizazi hiki.
Alikuja kwa lugha nzuri tukamkaribisha mpaka na Bungeni kwetu.
Akatuambia kwamba yeye anataka refinery ijengwe Tanga.
Kumbe mwenye mradi anataka ajenge Mombasa.
Sasa kwanini alikuja kudanganya Bunge letu.
Bunge legu lipitishe hoja ya kufuta hotuba yake kwenye hansard zetu.
What a liar.
ukiwa unatoka lumumba FC,ukiingia mjengoni unafundishwa jinsi ya kupiga makofi na vigeregereAlafu miwakilishi yetu kule bungeni ikawa inapiga tu makofi hata kwa mambo wasiyoelewa wao ni kupiga tu makofi
Mimi ni mwana ccm mwenye kadi inayolipiwa mwana chama hai kadi yangu ina miaka 20 mimi ni mzalendo wa nchi yangu sio Kama nyie walamba makalioIla unalamba makalio ya mtawala wa Chadema.
Intellijensia yetu ya TISS ipo bize kujua Bavicha wameficha wapi mapanga huku wenzao wa Kenya wakifanya ujasusi wa kiuchumi kusaidia nchi yao.Wakenya tumeona utapeli wao wa wazi kabisa.
Pale hatuna bunge, tumepigwa mchana kweupe.ukiwa unatoka lumumba FC,ukiingia mjengoni unafundishwa jinsi ya kupiga makofi na vigeregere
Kuna mahali unalamba makalio ila hutaki kuweka wazi tu.Mimi ni mwana ccm mwenye kadi inayolipiwa mwana chama hai kadi yangu ina miaka 20 mimi ni mzalendo wa nchi yangu sio Kama nyie walamba makalio
Hata subwoofer wao juzi alisema kabisaPale hatuna bunge, tumepigwa mchana kweupe.