Ziara ya Rais ruto naweza ita ni usanii wa kizazi hiki.
Alikuja kwa lugha nzuri tukamkaribisha mpaka na Bungeni kwetu.
Akatuambia kwamba yeye anataka refinery ijengwe Tanga.
Kumbe mwenye mradi anataka ajenge Mombasa.
Sasa kwanini alikuja kudanganya Bunge letu.
Bunge legu lipitishe hoja ya kufuta hotuba yake kwenye hansard zetu.
What a liar.
Nchi inaendeshwa na wakoraZiara ya Rais ruto naweza ita ni usanii wa kizazi hiki.
Alikuja kwa lugha nzuri tukamkaribisha mpaka na Bungeni kwetu.
Akatuambia kwamba yeye anataka refinery ijengwe Tanga.
Kumbe mwenye mradi anataka ajenge Mombasa.
Sasa kwanini alikuja kudanganya Bunge letu.
Bunge legu lipitishe hoja ya kufuta hotuba yake kwenye hansard zetu.
What a liar.
Dangote gudi baiBwana wee hao usiwalaumu kama hujaona ripoti zao.
Inasikitisha sana kuwa na bunge kama lileHata subwoofer wao juzi alisema kabisa
Kwa nchi yenye sera mbovu, kufungisha watu ndani, utekaji, mahakama zisizo na meno unafikiri wawekezaji wakubwa watajiachia sana hapa, sio kweli. Jamaa alikuja kama geresha tu ila alishaambiwa kiwanda kitakuwa wapiZiara ya Rais ruto naweza ita ni usanii wa kizazi hiki.
Alikuja kwa lugha nzuri tukamkaribisha mpaka na Bungeni kwetu.
Akatuambia kwamba yeye anataka refinery ijengwe Tanga.
Kumbe mwenye mradi anataka ajenge Mombasa.
Sasa kwanini alikuja kudanganya Bunge letu.
Bunge legu lipitishe hoja ya kufuta hotuba yake kwenye hansard zetu.
What a liar.
Elimu mbalimbali ndio changamotoZiara ya Rais ruto naweza ita ni usanii wa kizazi hiki.
Alikuja kwa lugha nzuri tukamkaribisha mpaka na Bungeni kwetu.
Akatuambia kwamba yeye anataka refinery ijengwe Tanga.
Kumbe mwenye mradi anataka ajenge Mombasa.
Sasa kwanini alikuja kudanganya Bunge letu.
Bunge legu lipitishe hoja ya kufuta hotuba yake kwenye hansard zetu.
What a liar.
Na hawakuishia hapo tu, walienda zaidi kummiminia maneno ya baraka nyingiAlafu miwakilishi yetu kule bungeni ikawa inapiga tu makofi hata kwa mambo wasiyoelewa wao ni kupiga tu makofi
Kaka nakupiga na nini? 😂😂😂 umenichekesha sanaKuna mahali unalamba makalio ila hutaki kuweka wazi tu.
Tunawajua sana sampuli yenu mnaojifanya wazalendo kuliko wengine.
Kumbe mnataka kutupiga.
Hivi kuna nchi hapa East africa ina wanasiasa mafisadi kama Kenya??Kwa nchi yenye sera mbovu, kufungisha watu ndani, utekaji, mahakama zisizo na meno unafikiri wawekezaji wakubwa watajiachia sana hapa, sio kweli. Jamaa alikuja kama geresha tu ila alishaambiwa kiwanda kitakuwa wapi
Mkuu mimi mzalendo wa kweliKuna mahali unalamba makalio ila hutaki kuweka wazi tu.
Tunawajua sana sampuli yenu mnaojifanya wazalendo kuliko wengine.
Kumbe mnataka kutupiga.
Ruto alitaka tukatae ili wamchukue wao.Lawama zote ziende Kwa intelijensia yetu ya hovyo pamoja circle ya watu wanaomzunguka Rais, ilitakiwa wao wajue mapema Hili suala, once they get a clue Tu tayari wakae chini waje na Options mapema ili Rais naye asiingie mkenge...
Ruto na watu wake walicheza mchezo wakijua kabisa Tanzania haiwezi kukubali, ni sawa na wewe Mimi nije kwako na kukwambia kuwa kuna tajiri atakuja kujenga kisima kwako bila kukupa full picture ya huo mpango automatically utaingia mkenge wa kukataa Kwa madai ya kukataa kupangiwa mambo ya nyumbani kwako so utajadili na mkeo na kuamua kuwa Sisi hatutaki dharau za kutuamulia nini cha kufanya bila kukaa toka mwanzo...So bepari yeye hajui hayo mambo maana ana middle men wake tayari na historia anaijua vizuri namna mambo yanavyoendeshwa nchini.
Kumbuka ule mpango hata Ruto alitaka kufaidika binafsi, so presha za matajiri na wachumia tumbo zikailaza project miguu juu...Kingine Kikubwa tunachokosea ni kutojiandaa na projects kubwa kubwa, nchi hii ilibidi iwe na mikakati namba moja ya kuboresha miundombinu yote Muhimu iwe kwenye Hali na usasa wa Hali ya juu iwe mwekezaji akija Kila kitu Kipo sawa kusiwe na sababu....
Ziara ya Rais ruto naweza ita ni usanii wa kizazi hiki.
Alikuja kwa lugha nzuri tukamkaribisha mpaka na Bungeni kwetu.
Akatuambia kwamba yeye anataka refinery ijengwe Tanga.
Kumbe mwenye mradi anataka ajenge Mombasa.
Sasa kwanini alikuja kudanganya Bunge letu.
Bunge legu lipitishe hoja ya kufuta hotuba yake kwenye hansard zetu.
What a liar.
Alijifunza kwa haraka akaona manyani ni wengi kuliko watu!Ziara ya Rais ruto naweza ita ni usanii wa kizazi hiki.