Je, safari ya kisiwa ndo itakamilisha jambo la July?

hata lisipokuwepo linaonekana linakuja inawezekana march tusitoboe
 
Halafu kwa mfano ikiharibika unaenda kuishi wp?
Anaye takiwa kutoka ni anaye iharibu nchi hiyo ndio anatakiwa atafute kwakwenda , msijifiche kwenye kichaka cha kulinda amani huku mnaua raia wasio na hatia kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…