Je, safari ya kisiwa ndo itakamilisha jambo la July?

Je, safari ya kisiwa ndo itakamilisha jambo la July?

#TikiKwaSamia

Kufungua milango ya uwekezaji kwa sekta binafsi kulikofanywa na Serikali kuwaleta na kuvutia zaidi wawekezaji binafsi katika sekta ya bandari kumeleta na inatarajiwa kuleta zaidi matokeo chanya nchini, pamoja na watumiaji wa bandari za Tanzania.
Muombee aione Pepo maana oktoba ni mbali kiroho
 
Hadi matambiko yaishe

Hadi ukataji manina umalizike. Yeye hataki kuwa sehemu ya lawama. Ameacha wa uane kwanza hizi hatua.

Hata yale majina ya mwisho kila kitu kinafanyikia huku. Tunawaangalia tu, orodha ipo tyr with few surprises..

Safari ya huku ipo kimkakati zaidi.😄😄😁
Tukinunue tu hicho kisiwa kama headofstate anaweza kukaa zaidi ya siku 5 na wananchi wasiambiwa anafanya nini huko basi ni vyema kabisa hicho kisiwa kiwe sehemu ya tz
 
Ilikuwa ziara ya siku moja na alirejea salama, siku inayofuata alipokea tuzo na pia alipokea ujumbe maalum toka Congo Brazzaville, tembelea page za KUILU uone picha
Admini wa whatsapp ambavyo haishiwi bando yupo kimyaaa
 
Tangu
Screenshot_20250712-083215.png
tarehe 7
 
Ukiwa kwa forum za wanaojihisi majiniazi , wateke kwa thread za kufikirika
 
Back
Top Bottom