Je, safari ya kisiwa ndo itakamilisha jambo la July?

Ndio nimesema mm ila sijasema sentensi hii "Mm ni billionea Mkubwa kumpita Elon Musk" hiyo umesema ww.
Sasa si umesema maneno yanaumba?

Na hayo si maneno?

Unakataa nini sasa?

Unasema maneno hayaumbi?
 
Sasa si umesema maneno yanaumba?

Na hayo si maneno?

Unakataa nini sasa?

Unasema maneno hayaumbi?
Ingekuwa vyema kama ungeanza kwa kuelewa kwanza nin maana ya kauli 'maneno yanaumba', badala ya kurukia tu dhana hiyo bila kuielewa vyema, halafu ukatoa mifano very plain ya juu juu isiyo na kina.
 
Wacha tuone je huyu bundi alielia malangon petu Ana maaana gan
 
Ingekuwa vyema kama ungeanza kwa kuelewa kwanza nin maana ya kauli 'maneno yanaumba', badala ya kurukia tu dhana hiyo bila kuielewa vyema, halafu ukatoa mifano very plain ya juu juu isiyo na kina.
Swali ni rahisi tu. Maneno yanaumba au hayaumbi?

Ukitaka kuwa mshairi wa Kivogoni unaweza kusema kama Samia kwamba Tanzania tuko vizuri kiuchumi kuliko Ulaya na Marekani.

Je, hilo linamaanisha Tanzania tuko vizuri kiuchumi kuliki Ulaya na Marekani?

Maneno hayaumbi. Yangeumba wale waliosema risasi za Wajerumani zitageuka maji kwa wao kusema Maji wangeshinda vita, risasi za Mjerumani zingegeuka maji.

Maneno yangekuwa yanaumba Samia kwa dua zenu za kuku zisizompata mwewe hapa angekuwa kashajifia mbali zamani sana.

Wewe unasema maneno yanaumba, mwenzako Samia anasema maneno matupu hayavunji mfupa.
 
Punguza maneno Mkuu haya yanaenda kuharibu lengo la huu uzi
 
JF ni forum huru.

Hapa unataka kunifanyia censorship nisijieleze kwa uhuru wangu.

Jibu hoja kwa hoja, usinipangie kusema.

Kama naona uzi umejaa ujinga wa ramli nawaambieni tu.

Kama unaweza kupinga hilo, pinga tu.

Usiniambie nipunguze maneno.

Ukisema hivyo inakuwa kama umeshindwa hoja unaninyamazisha kwa nguvu.
 
Mkuu mbona umepaniki aisee 🤣
Hapo juu Umeandika maneno huumba mara Elon Musk mara blaah blaah ndio nini sasa?
 
Sijapaniki.

Ujue ukipiga chafya kwa involuntary reflex action tu, kama kuna ki sisimizi kimekukalia mbele hapo kitaona umetumia nguvu kubwa sana.

Wakati wewe hata huja notice kuwa umepiga chafya.

Sasa labda mimi nimepiga chafya kwa reflex action tu na wewe ni kisisimizi unaona ninepaniki.

Wewe kama una matatizo ya kujua kusoma kwa ufahamu mimi siwezi kukusaidia hapa JF.
 
Swali ni rahisi tu. Maneno yanaumba au hayaumbi?

Ukitaka kuwa mshairi wa Kivogoni unaweza kusema kama Samia kwamba Tanzania tuko vizuri kiuchumi kuliko Ulaya na Marekani.

Je, hilo linamaanisha Tanzania tuko vizuri kiuchumi kuliki Ulaya na Marekani?

Maneno hayaumbi. Yangeumba wale waliosema risasi za Wajerumani zitageuka maji kwa wao kusema Maji wangeshinda vita, risasi za Mjerumani zingegeuka maji.

Maneno yangekuwa yanaumba Samia kwa dua zenu za kuku zisizompata mwewe hapa angekuwa kashajifia mbali zamani sana.

Wewe unasema maneno yanaumba, mwenzako Samia anasema maneno matupu hayavunji mfupa.
Unaonekana upo pragrammed kama roboti, unaamini kwamba kila nadharia lazima iwe imethibitishwa maabara ili ikubalike. Sikulaumu, labda ndivyo ulivyo. Mtazamo wako umefungwa tu kwenye ukweli unaoweza kupimwa kisayansi ( a very programmed mindset) bila kwenda mbali zaidi ya hapo. Lakini dhana ya 'maneno yanaumba' inapita mipaka ya sayansi peke yake, inagusa pia saikolojia, imani, falsafa na hali ya kiroho. Kwa bahati mbaya, upeo wa fikra zako hauwezi kushughulikia undani wa nadharia hizo, basi ibaki hivyo 'maneno yanaumba.
 
Wewe ngumbaru hata huelewi kuwa saikolojia ni sehemu ya sayansi.
 
Tunaahukuru Mkuu, haya shusha nondoo.
#TikiKwaSamia

Kufungua milango ya uwekezaji kwa sekta binafsi kulikofanywa na Serikali kuwaleta na kuvutia zaidi wawekezaji binafsi katika sekta ya bandari kumeleta na inatarajiwa kuleta zaidi matokeo chanya nchini, pamoja na watumiaji wa bandari za Tanzania.
 
Wewe ngumbaru hata huelewi kuwa saikolojia ni sehemu ya sayansi.
Ww kiranga ni atheist aliyekubuu Kuna nadharia kwa akili Yako hiyo itakuwa ngum kuzielewa, bali unabakia kama mjinga wa kudum aliyeshindwa kuelewa nadharia hizo msingi usifikie level ya upumbavu.
 
#TikiKwaSamia

Kufungua milango ya uwekezaji kwa sekta binafsi kulikofanywa na Serikali kuwaleta na kuvutia zaidi wawekezaji binafsi katika sekta ya bandari kumeleta na inatarajiwa kuleta zaidi matokeo chanya nchini, pamoja na watumiaji wa bandari za Tanzania.
 
Ww kiranga ni atheist aliyekubuu Kuna nadharia kwa akili Yako hiyo itakuwa ngum kuzielewa, bali unabakia kama mjinga wa kudum aliyeshindwa kuelewa nadharia hizo msingi usifikie level ya upumbavu.
What's wrong with being an atheist?
 
Back
Top Bottom