Je, safari ya kisiwa ndo itakamilisha jambo la July?

Je, safari ya kisiwa ndo itakamilisha jambo la July?

Huyu bi kirembwe hapaswi kabisa kupotea kwa sasa,Mungu amemleta kiongozi dhaifu ili iwe ndio mwisho wa ccm,akipotea huyu kwa sasa itakuwa ni ngumu sana kumpata kiongozi asiye kubalika na raia kama huyu

anapaswa azidi kubaki mpaka october au november then bwana mkubwa lissu aje amuoneshe kuwa hakwenda ULAYA kushangaa mataa bali kutengeneza connection

YAJAYO YANAFURAHISHA
150%
 
Jibu swali, kwanini chadema wa Sasa wamejaa mambo ya kichoko?!! Kusengenyasengenya tu na kuzusha na kuchukua watu utafikiri wote Wana mimba.
I reserve my reply on you to safeguard my status.
 
Madam kikwete anaishi, hakuna mpango mwovu dhidi ya raisi utakaofanikiwa. Na wote watakaojaribu watakuwa na mwisho mbaya.
Amini Amini nakuambia hakuna chochote kitakachotokea. Na oktoba uchaguzi uko palepale.
Tunajua yeye ndiye alikuwa nyuma ya mpango wa kumtanguliza Magufuli, ni mkali wa hizi kazi
 
Back
Top Bottom