kiumbempole
JF-Expert Member
- Jan 15, 2016
- 702
- 1,199
Tueleze umuhimu wakeJukwaa la wazushi ni Muhimu sana hapa JF
Tueleze umuhimu wakeJukwaa la wazushi ni Muhimu sana hapa JF
Asipotee bali apate kiharusiHuyu bi kirembwe hapaswi kabisa kupotea kwa sasa,Mungu amemleta kiongozi dhaifu ili iwe ndio mwisho wa ccm,akipotea huyu kwa sasa itakuwa ni ngumu sana kumpata kiongozi asiye kubalika na raia kama huyu
anapaswa azidi kubaki mpaka october au november then bwana mkubwa lissu aje amuoneshe kuwa hakwenda ULAYA kushangaa mataa bali kutengeneza connection
YAJAYO YANAFURAHISHA
HII CODE IMEKUWA NGUMU SANA KWANGU KUFUNGUA,naombeni msaada hapaMipango ni Mingi sana
✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻
Britanicca
Mzee mgaya ulale unono.
Cc Maxence MeloJukwaa la wazushi ni Muhimu sana hapa JF
Hahahaha jamaa huwa anakuja na kupotea. Kuna kipindi anakuwa mjukuu wa shehe Yahaya kabisa ila.kuna kipindi anatoka kwenye utukufu wa shehe Yahaya.Mjukuu wa Sheikh Yahya kuna nini tena hukooo!!!!?
ipotezee itakuwa haikuhusu, wenye nayo wameelewaHII CODE IMEKUWA NGUMU SANA KWANGU KUFUNGUA,naombeni msaada hapa
Ngoja nipite hapa kama naaga maiti, kisiwa kizuri kileMipango ni Mingi sana
✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻
Britanicca
Hamna lolote...Mipango ni Mingi sana
✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻
Britanicca