Je, safari ya kisiwa ndo itakamilisha jambo la July?

Je, safari ya kisiwa ndo itakamilisha jambo la July?

Huyu bi kirembwe hapaswi kabisa kupotea kwa sasa,Mungu amemleta kiongozi dhaifu ili iwe ndio mwisho wa ccm,akipotea huyu kwa sasa itakuwa ni ngumu sana kumpata kiongozi asiye kubalika na raia kama huyu

anapaswa azidi kubaki mpaka october au november then bwana mkubwa lissu aje amuoneshe kuwa hakwenda ULAYA kushangaa mataa bali kutengeneza connection

YAJAYO YANAFURAHISHA
Yaani connection ukatengeneze Kwa madaui ambayo wamesababisha haya? Hamuoni tu haya mambo ndiyo yanayotufanya akina mm na wenye mtizamo wangu tusiwakubali?
 
Back
Top Bottom