Je, safari ya kisiwa ndo itakamilisha jambo la July?

Je, safari ya kisiwa ndo itakamilisha jambo la July?

Attachments

  • FB_IMG_1751618926247.jpg
    FB_IMG_1751618926247.jpg
    85 KB · Views: 21
Nikikumbuka habari za Kigogo zilikuwa hivi hivi. Dual la mwewe… tetesi mara paaap.

Kwa hizi trend za humu, naona kama wamebadili uwanja tu. Tunatumia jf
Ni propaganda tu za vijana wa Msoga na mkojani fc,
Unakumbuka mwaka jana sijui kwenye lile tamasha kule Havana Cuba uzushi ambao ulizushwa kwamba kafanyiwa oporesheni?
 
Madam kikwete anaishi, hakuna mpango mwovu dhidi ya raisi utakaofanikiwa. Na wote watakaojaribu watakuwa na mwisho mbaya.
Amini Amini nakuambia hakuna chochote kitakachotokea. Na oktoba uchaguzi uko palepale.
Hata kwa Magufuli ilianza hivi hivi
 
Mna viherehere sana! Hakuna namna ya wewe kupata taarifa za mipango yeyote ile, zaidi ya assumptions, Mtu pekee alikuwa anajua kuleta nondo ni MAGAMBA MATATU tu, nyie mlio baki ni wapiga ramli chonganishi tu
Wanaitwa mawinga
 
Back
Top Bottom