Je, safari ya kisiwa ndo itakamilisha jambo la July?

Je, safari ya kisiwa ndo itakamilisha jambo la July?

"Mimi ni mweusi mweusi lakini ni mzuri,enyi mabinti wa kimisri"

Kumbe mfalme Suleiman alikua mweusi!!

October tuna tick!

"KAZI na utu tunasonga mbele"

sijaelewa hiyo “lakini” kwenye sentensi yako ni ya nini? inamaanisha nini hasa ? …
 
Hahaa.

Sema "Mimi bilionea mkubwa kumpita Elon Musk. Mimi bilionea mkubwa kumpita Elon Musk".

Halafu tuone kama utakuwa bilionea mkubwa kuliko Elon Musk.
Uumbaji hauko kama unavyoufikiri wewe, ni jambo pana zaidi ya kuunganisha herufi kutengeneza sentensi.
 
Uumbaji hauko kama unavyoufikiri wewe, ni jambo pana zaidi ya kuunganisha herufi kutengeneza sentensi.
Hakuna chochote nikichoweka hapo nilichofikiri mini tu. Nimekuwekea ukichisema wewe.

Umesema maneno yanaumba.

Sema wewe ni bilionea mkubwa kuliko Elon Musk basi uuumbe huo ubilionea.
 
Hakuna chochote nikichoweka hapo nilichofikiri mini tu. Nimekuwekea ukichisema wewe.

Umesema maneno yanaumba.

Sema wewe ni bilionea mkubwa kuliko Elon Musk basi uuumbe huo ubilionea.
Ndio nimesema mm ila sijasema sentensi hii "Mm ni billionea Mkubwa kumpita Elon Musk" hiyo umesema ww.
 
Back
Top Bottom