Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 3,126
- 6,104
Kitendo cha Imma kuwepo pale nimeogopa mimi pia.What if wanaoendelea kusuka mipango pia walikuwa mle mle kwenye tent?
Kitendo cha Imma kuwepo pale nimeogopa mimi pia.What if wanaoendelea kusuka mipango pia walikuwa mle mle kwenye tent?
Manabii wa chadema holy hovyoMipango ni Mingi sana
✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻
Britanicca
Hakutakiwa kuwepo?Kitendo cha Imma kuwepo pale nimeogopa mimi pia.
Mm makubwa haya , acha nipote kama naaga maiti maana yapo juu ya uwezo wanguKuna ukweli wowote kuhusiana na hili maana huu Uzi haupo kwenye jukwaa britanicca
View attachment 3397385
Mkuu tutake radhi tafadhali sanaHivi kwanini chadema wa Sasa wapo kama mashoga?!!!
So kikwete ni Mungu?Madam kikwete anaishi, hakuna mpango mwovu dhidi ya raisi utakaofanikiwa. Na wote watakaojaribu watakuwa na mwisho mbaya.
Amini Amini nakuambia hakuna chochote kitakachotokea. Na oktoba uchaguzi uko palepale.
Hapana mada haimuhusu MunguSo kikwete ni Mungu?
Kwani nani akufanyae pumua , timiza haja zako za kimwili, leo Bwana akisema anachukua kilicho chake itakuaje, utaamuka , yupo na uwezo pia chukua kiungo kimoja wapo cha katikati ya mapaja ,unaamuka hakifanyi kazi vipi utasemajeHapana mada haimuhusu Mungu
Kweli kabisa.Ni vizuri kuweka akiba ya maneno ili kesho uishi kwa amani
BritannicaMipango ni Mingi sana
✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻
Britanicca
Sema Kuna wakati Code zako zinakuwa ngumu sana kama hiii nimetoka kweupe ngoja nisime commentsMipango ni Mingi sana
✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻
Britanicca
Sasa pale ndo hapakuwa salamaMipango yote tulishaifuta pale kwenye tent
Kwamba?hahahaha...
ndani ya viunga vya Tehrani.
Kwangu mm taarifa za huyu gwiji britanicca huwa naziamini kabla hata sijamaliza kusomaTaarifa zako mkuu sina mashaka nazo ukiandika nasoma kwa umakini mkubwa
Mungu afanye wepesiMipango ni Mingi sana
✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻
Britanicca
Kama kuna mpango ukiweka kwenye public hivyo wahusika unakuwa unawasanua,Mipango ni Mingi sana
✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻
Britanicca