Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Wote hao timu mojaBritannica atuletee za dr shika tu, mpaka sasa my all time favorite ni yoga wetu.
Wote hao timu mojaBritannica atuletee za dr shika tu, mpaka sasa my all time favorite ni yoga wetu.
Kwani bado hajarudi ?Tupe picha Yake akirejea Toka visiwani!
Sijui!Bado sijamuona kwenye heka heka kama hapo kabla live!Kwani bado hajarudi ?
Hadi matambiko yaisheTupe picha Yake akirejea Toka visiwani!
Zoom na kapicha tuone alivyovalishwa ngozi ya chui!!Hadi matambiko yaishe
Hadi ukataji manina umalizike. Yeye hataki kuwa sehemu ya lawama. Ameacha wa uane kwanza hizi hatua.
Hata yale majina ya mwisho kila kitu kinafanyikia huku. Tunawaangalia tu, orodha ipo tyr with few surprises..
Safari ya huku ipo kimkakati zaidi.😄😄😁
Kwani ilikuwa ziara ya siku ngapi mkuu.Tupe picha Yake akirejea Toka visiwani!
Afu nimekukumbuka kwenye ile combat nyingine mkuu, ya kijani na miwani.Wote hao timu moja
Hatujui mkuu!Kwani ilikuwa ziara ya siku ngapi mkuu.
Mpaka wengine wanalia hadharani 😂Hadi matambiko yaishe
Hadi ukataji manina umalizike. Yeye hataki kuwa sehemu ya lawama. Ameacha wa uane kwanza hizi hatua.
Hata yale majina ya mwisho kila kitu kinafanyikia huku. Tunawaangalia tu, orodha ipo tyr with few surprises..
Safari ya huku ipo kimkakati zaidi.😄😄😁
Na badooo mpaka wasemeeee.Mpaka wengine wanalia hadharani 😂
Kutoka st.Peter
Ngoja tuone mkuu.Hatujui mkuu!
Mimi naangalia tbc nione TUNATEKELEZA na yeye akiwemo nashangaa sioni!!
Nataka uhakika was ku tick yeye October!!
Hahahaha,duh ipi hiyo mkuu?Afu nimekukumbuka kwenye ile combat nyingine mkuu, ya kijani na miwani.
Hahahah ngoja tuone utabiri kwanza mkuu.Hahahaha,duh ipi hiyo mkuu?
Hahahaha, umehudhuria jumuia leo ?Hahahah ngoja tuone utabiri kwanza mkuu.
Umesali jumuia?Kutoka st.Peter
Mie nadhani hizi tabiri zote kwa sasa, mngezipumzisha tu.
Una kiherehere dogo.Imeishia wapi ?
Kubwa ,umeamkajeUna kiherehere dogo.
Bado kidogo, Mungu ni mwema natumai nitaamka salama. Vipi wewe huko?Kubwa ,umeamkaje