the big fish
Member
- Jun 26, 2022
- 64
- 96
Duuh nomaKwa Sasa Nchini Tanzania Salim Kikeke Ni Ngumu Kuendesha Mjadala Wowote Ambao Utakuwa Uhahusisha Vyama Vya Siasa Ususani Vyama Pinzani
Kwanza Tukianza Maadili Ya Uandishi Wa Habari Yameweka Wazi Kuwa Lazima Mwandishi usioneshe Upande Wowote Ule Either Kwenye Kukusanya Kuchakata Na Kuwasilisha Habari...yakupasa Kuwa Neutral..
Kwa Mantiki Hiyo Kikeke Amevunja Moja Ya Misingi Ya Uandishi Wa Habari Kwa Kuamuka kugombea Ubunge Kupitia CCM...
Mara Baada ya Hapa Atapoteza Credibility Kwani Baadhi Ya Wafuasi Wake Ni Chama Pinzani Kwa Kufanya Hivyo Atakuwa Amepoteza Mvuto Wa Kufanya Mjidala mizito Ndani ya Nchi
Dotto magari na mwijaku tayari walikuwa wameonyesha mlengo wao tokea mwanzo kwa kikeke ile taalum yake ya uandishi wa habari ambayo nadhani ndio imemtambulisha hadi sisi tukamfahamu hatua aliyoichukua hawezi kuweka kwenye mabano kwenye kaz yake ya uandishiKama Mwijaku na Dogo magari wamechukua simshangai kikeke.
Tuheshimu mawazo ya watuHabari ya wote humu ndani kama
kichwa kinavojieleza hapo juu,salim kikeke ni moja ya watangazaji nguli wa mda mrefu wa masuala mbalimbali yanayohusu mambo mbali mbali kuhusu nchi yetu hata alipokuwa BBC.
Baada ya kutoka huko ughaibuni kikeke alikuja na kuendelea kazi yake ya utangazaji na media za hapa kwetu nyumbani Tanzania kwa kipindi chote hicho hajawahi kuonyesha mlengo wowote wa kichama hivyo kumwezesha kukutana na kufanya mijadala kadha wa kadha na viongozi wa vyama mbali mbali.
SIku za hivi karibuni tumeshuudia chama cha mapinduzi kimeanza mchakato wa ndani ya chama wa watia nia ngazi za ubunge na udiwani kuchukua fomu na kurejesha katikati mwa zoezi hilo pia salim kikeke ameonekana akichukua fomu ya kutia nia kugombea nafasi ya ubunge kupitia CCM katika moja ya jimbo la mkoa wa kilimanjaro.
Je salim kikeke ataendelea kuendesha hio mijadala ilhali tayari yeye ameshaonyesha tayari ni mwanachama wa CCM.
karibu tujadili kwa hekima
Natanguliza shukrani.
Baada ya hapo ataendeleza tena mijadala yake na viongozi wa vyama vya upinzani ilhali tayari wameshamjua kuwa yeye ni mfuasi wa CCMKwasasa Wanakaa Pembeni Mpaka Baada Ya Mchujo
Endapo Watapata/Watakosa
Mwandishi Tanzania ni Chief Odemba pekee mengine yote ni matapeli tupuKwa
Dotto magari na mwijaku tayari walikuwa wameonyesha mlengo wao tokea mwanzo kwa kikeke ile taalum yake ya uandishi wa habari ambayo nadhani ndio imemtambulisha hadi sisi tukamfahamu hatua aliyoichukua hawezi kuweka kwenye mabano kwenye kaz yake ya uandishi
Tuheshimu mawazo
Ni sahihi kabisa nilihitaji tu kujua mawazo ya watu wengine wanacompare vipi hali kama hii ukizingatia salim anawafuasi wengi ambao pengine hawana mlengo wowoteTuheshimu mawazo ya watu
Akipata Hataendelea Tena Lakini Akikosa Anaweza Kuendelea TuBaada ya hapo ataendeleza tena mijadala yake na viongozi wa vyama vya upinzani ilhali tayari wameshamjua kuwa yeye ni mfuasi wa CCM
Ni sawa kama alivyo kaka yetu Pascal MayallaKwa Sasa Nchini Tanzania Salim Kikeke Ni Ngumu Kuendesha Mjadala Wowote Ambao Utakuwa Uhahusisha Vyama Vya Siasa Ususani Vyama Pinzani
Kwanza Tukianza Maadili Ya Uandishi Wa Habari Yameweka Wazi Kuwa Lazima Mwandishi usioneshe Upande Wowote Ule Either Kwenye Kukusanya Kuchakata Na Kuwasilisha Habari...yakupasa Kuwa Neutral..
Kwa Mantiki Hiyo Kikeke Amevunja Moja Ya Misingi Ya Uandishi Wa Habari Kwa Kuamuka kugombea Ubunge Kupitia CCM...
Mara Baada ya Hapa Atapoteza Credibility Kwani Baadhi Ya Wafuasi Wake Ni Chama Pinzani Kwa Kufanya Hivyo Atakuwa Amepoteza Mvuto Wa Kufanya Mjidala mizito Ndani ya Nchi
Unaamini kuna watu ambao hawana mlengo wowote ?Ni sahihi kabisa nilihitaji tu kujua mawazo ya watu wengine wanacompare vipi hali kama hii ukizingatia salim anawafuasi wengi ambao pengine hawana mlengo wowote
Kwisha habari yake atamchambua nani wakati tiari kashaunga mkono msafara wa chama tawala.Habari ya wote humu ndani kama
kichwa kinavojieleza hapo juu,salim kikeke ni moja ya watangazaji nguli wa mda mrefu wa masuala mbalimbali yanayohusu mambo mbali mbali kuhusu nchi yetu hata alipokuwa BBC.
Baada ya kutoka huko ughaibuni kikeke alikuja na kuendelea kazi yake ya utangazaji na media za hapa kwetu nyumbani Tanzania kwa kipindi chote hicho hajawahi kuonyesha mlengo wowote wa kichama hivyo kumwezesha kukutana na kufanya mijadala kadha wa kadha na viongozi wa vyama mbali mbali.
SIku za hivi karibuni tumeshuudia chama cha mapinduzi kimeanza mchakato wa ndani ya chama wa watia nia ngazi za ubunge na udiwani kuchukua fomu na kurejesha katikati mwa zoezi hilo pia salim kikeke ameonekana akichukua fomu ya kutia nia kugombea nafasi ya ubunge kupitia CCM katika moja ya jimbo la mkoa wa kilimanjaro.
Je salim kikeke ataendelea kuendesha hio mijadala ilhali tayari yeye ameshaonyesha tayari ni mwanachama wa CCM.
karibu tujadili kwa hekima
Natanguliza shukrani.
Namaanisha mlengo wa kisiasa specifically wapo ambao hawana chamaUnaamini kuna watu ambao hawana mlengo wowote ?
Utashangaa siku na yeye anachukua fomu hutaamini🤣Mwandishi Tanzania ni Chief Odemba pekee mengine yote ni matapeli tupu