Uchaguzi 2020 Je, Salum Mwalimu ameanza kutumia ngekewa kuiangamiza CCM mikoa ya Kusini?

Uchaguzi 2020 Je, Salum Mwalimu ameanza kutumia ngekewa kuiangamiza CCM mikoa ya Kusini?

GUSSIE

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
3,880
Reaction score
11,134
Wanabodi, mambo sio mambo huko kusini naona sasa Salum Mwalimu ameanza kutumia Ngekewa kama ya Lissu huko Nachingwea kwa kuanza kujaza wafuasi barabarani na viwanjani.

Siku saba za Lissu likizo ni dhahiri kamzizi au dawa ya mvuto amemkabidhi Salum Mwalim, Salum Mwalim anaitumia ngekewa vizuri huko mikoa ya Kusini.

Ule umati huko Nachingwea nina hakika ni dawa au mizizi ya Tundu Lissu ya mvuto.

Kama sio ngekewa au uchawi basi CCM tuna kazi ndefu sana ya kufanya tukichaguliwa na kupewa nafasi na wananchi.

All in all tutashinda kwa mbinu za kisasa zaidi na zilizoboreshwa.
 
Salum Mwalimu yeye mwenyewe binafsi ana kipaji kikubwa sana cha kuzungumza, ana energy ile ya ujana basi anaconnect kirahisi na watu wa rika la ujana.
 
Back
Top Bottom