Uchaguzi 2020 Je, Salum Mwalimu ameanza kutumia ngekewa kuiangamiza CCM mikoa ya Kusini?

Wanabodi, mambo sio mambo huko kusini naona sasa Salum Mwalimu ameanza kutumia Ngekewa kama ya Lissu huko Nachingwea kwa kuanza kujaza wafuasi barabarani na viwanjani.

Siku saba za Lissu likizo ni dhahiri kamzizi au dawa ya mvuto amemkabidhi Salum Mwalim, Salum Mwalim anaitumia ngekewa vizuri huko mikoa ya Kusini.

Ule umati huko Nachingwea nina hakika ni dawa au mizizi ya Tundu Lissu ya mvuto.

Kama sio ngekewa au uchawi basi CCM tuna kazi ndefu sana ya kufanya tukichaguliwa na kupewa nafasi na wananchi.

All in all tutashinda kwa mbinu za kisasa zaidi na zilizoboreshwa.
Watanzania wa leo sio wajana wanajua kuchambua pumba na mchele miaka 60 unaimba wimbo uleule ushachuja wanataka wabadilishe wimbo mpya kwani kuna mtu anakerekwa

Sent from my BLL-L22 using JamiiForums mobile app
 
Chadema katika kumaliza ngwe hii iwashawishi vijana kwenda kupiga kura.
Vjjana wamelishwa kasumba kwamba kamwe ccm haiwezi kushindwa reference ikiwa uchaguzi wa 2015.
Kwa hiyo wamekata tamaa ya kupiga kura bure. ..

Wale wa ccm wao wataenda kupiga kura.
Mengi watu washayajua, kubwa liwe kupiga kura na kulinda. Kuhakikisha uchaguzi huru, wa haki na amani.
Waambiwe kutokupiga kura ni usaliti wa nafsi zao na uhuru wao.

Vijana kapigeni kura. Ndipo ushindi ulipo. Kukata tamaa ni dhambi. Msimsikilize shetani anayewashawishi kutokupiga kura.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Viongozi wa CHADEMA wahamasishe vijana kujitokeza kwa wingi kupiga kura
 
Wanabodi, mambo sio mambo huko kusini naona sasa Salum Mwalimu ameanza kutumia Ngekewa kama ya Lissu huko Nachingwea kwa kuanza kujaza wafuasi barabarani na viwanjani.

Siku saba za Lissu likizo ni dhahiri kamzizi au dawa ya mvuto amemkabidhi Salum Mwalim, Salum Mwalim anaitumia ngekewa vizuri huko mikoa ya Kusini.

Ule umati huko Nachingwea nina hakika ni dawa au mizizi ya Tundu Lissu ya mvuto.

Kama sio ngekewa au uchawi basi CCM tuna kazi ndefu sana ya kufanya tukichaguliwa na kupewa nafasi na wananchi.

All in all tutashinda kwa mbinu za kisasa zaidi na zilizoboreshwa.
Chadema imeshinda mioyo ya watu tunapaswa sasa kulinda sanduku la kura.
 
Wanabodi, mambo sio mambo huko kusini naona sasa Salum Mwalimu ameanza kutumia Ngekewa kama ya Lissu huko Nachingwea kwa kuanza kujaza wafuasi barabarani na viwanjani.

Siku saba za Lissu likizo ni dhahiri kamzizi au dawa ya mvuto amemkabidhi Salum Mwalim, Salum Mwalim anaitumia ngekewa vizuri huko mikoa ya Kusini.

Ule umati huko Nachingwea nina hakika ni dawa au mizizi ya Tundu Lissu ya mvuto.

Kama sio ngekewa au uchawi basi CCM tuna kazi ndefu sana ya kufanya tukichaguliwa na kupewa nafasi na wananchi.

All in all tutashinda kwa mbinu za kisasa zaidi na zilizoboreshwa.
Chadema endeleeni kujaza watu kwenye mikutano. CCM itajaza kura kwenye masanduku ya kura!
 
Back
Top Bottom