Huu utabiri usio na base, mlisema hivyo sana, kuwa upinzani umekufa.Lakini kinachoonekana field baada ya miaka minne na ushee ni tofauti.
Mlisema ACT itakuwa chama kikuu cha upinzani lakini huku bara haionekani kuwa hivyo.
Tunaona tu polisi wakilazimika kutumia nguvu, vyombo vya habari vikiwa na hofu...haijawahi kuwa hivi baada ya kuanza kwa vyama vingi.
Acha mapenzi, tumia logic and fact.
NB: Kama janja janja za kipuuzi zitatumika, nchi inaingizwa pagumu ,huyu Lissu sio Mrema,Lowasa,Mbowe wala Dr Slaa. Ni mtu ambae anajisimamia bila hofu,kabla,wakati na baada ya uchaguzi.
Cha msingi jitahidi kuwa na akiba ya kifedha, na passport karibu.