Wanabodi,Mambo sio mambo huko kusini naona sasa Salum Mwalimu ameanza kutumia Ngekewa kama ya Lissu huko Nachingwea kwa kuanza kujaza wafuasi barabarani na viwanjani...
Wewe mamluki uongo wako hakuna anayekusikilizaMsidanganyane. Chadema huu uchaguzi imeshashindwa. Ijipange upya kwa ajili ya uchaguzi w 2025.
Mkuu, asiyekubali kushindwa si mshindani...Wewe mamluki uongo wako hakuna anayekusikiliza
Ishindwe CCM nikubali mimi !Mkuu, asiyekubali kushindwa si mshindani...
Ukweli huo huo..Mie ni Moja ya nao usikiliza.Wewe mamluki uongo wako hakuna anayekusikiliza
wewe kapuku utasikilizwa na nani ?Ukweli huo huo..Mie ni Moja ya nao usikiliza.
CHADEMA mnaenda kuanguka kabisa baada ya uchaguzi huu.Have my words.
Mutaiba Kura kwa nguvuWanabodi,Mambo sio mambo huko kusini naona sasa Salum Mwalimu ameanza kutumia Ngekewa kama ya Lissu huko Nachingwea kwa kuanza kujaza wafuasi barabarani na viwanjani....
Wananchi wanaitaji mabadiliko ya kweli na si polojo za miaka mingiWanabodi,Mambo sio mambo huko kusini naona sasa Salum Mwalimu ameanza kutumia Ngekewa kama ya Lissu huko Nachingwea kwa kuanza kujaza wafuasi barabarani na viwanjani....
Picha na sisi tushangae jinsi wananchi wanavyotaka sera mpyaKwakweli nimeshangaa sana kwa nilichokiona Leo Nachingwea!! Mama Samia hajapita huko?
Tundu Lissu and Salum Mwalimu is the best combination in this election.
Hahaha mwaka huu wakisimama nchale? Wakikaa nchale hata wakikimbia nchale.Wanabodi,Mambo sio mambo huko kusini naona sasa Salum Mwalimu ameanza kutumia Ngekewa kama ya Lissu huko Nachingwea kwa kuanza kujaza wafuasi barabarani na viwanjani...
Hehehehe hadi kashakata tamaasamia suluu akienda mahali unaweza sema ni mgombea udiwani
Kama na hiyo zone inamkubali Lissu na Salum basi uchaguzi umekwishaKwakweli nimeshangaa sana kwa nilichokiona Leo Nachingwea!! Mama Samia hajapita huko?
Mikoa ya kusini ni miongoni mwa ngome za CCM,lakini naskia mara hii huko watu wamefanya mabadiliko.Kama na hiyo zone inamkubali Lissu na Salum basi uchaguzi umekwisha