Salum Mwalimu yeye mwenyewe binafsi ana kipaji kikubwa sana cha kuzungumza, ana energy ile ya ujana basi anaconnect kirahisi na watu wa rika la ujana.
Bora ungepotea kwa punyeto tu chooni.Msidanganyane. Chadema huu uchaguzi imeshashindwa. Ijipange upya kwa ajili ya uchaguzi w 2025.
Huko ccm ilikuwa na mtaji mkubwa sana kwa miaka mingi mno. Sasa kama na huko tukipata hata 30% ya kura basi tunaua tembo lwa Risasi moja.Mikoa ya kusini ni miongoni mwa ngome za CCM,lakini naskia mara hii huko watu wamefanya mabadiliko.
Imeshashindwa vipi wakati sie wapiga kura tunasema itashinda?Msidanganyane. Chadema huu uchaguzi imeshashindwa. Ijipange upya kwa ajili ya uchaguzi w 2025.
Na safari hii ndio kifo chao. CCM kuiba kura 2020 ni sawa na kibaka kukwapua pochi Kariakoo SAA 7 mchana.Mutaiba Kura kwa nguvu
Sawa tajiri usie kuwa na Vitu.wewe kapuku utasikilizwa na nani ?
Hiki ndo cha msingi, hayo mengine mtatuongezea tukifika sekondari.Tuwekee kapicha
Chadema katika kumaliza ngwe hii iwashawishi vijana kwenda kupiga kura.Mtaisoma namba
Umeibuka kuja kuokoa jahazi lililozama mwenzako Rirtz na Bi Mkora waMsidanganyane. Chadema huu uchaguzi imeshashindwa. Ijipange upya kwa ajili ya uchaguzi w 2025.
Huu utabiri usio na base, mlisema hivyo sana, kuwa upinzani umekufa.Lakini kinachoonekana field baada ya miaka minne na ushee ni tofauti.Ukweli huo huo..Mie ni Moja ya nao usikiliza.
CHADEMA mnaenda kuanguka kabisa baada ya uchaguzi huu.Have my words.
Kule kusini chama tawala wanajua kabisa shughuli ni pevu, Jana Mwalimu kachakaza sana Nanyumbu na Tunduru.Salum Mwalimu yeye mwenyewe binafsi ana kipaji kikubwa sana cha kuzungumza, ana energy ile ya ujana basi anaconnect kirahisi na watu wa rika la ujana.
Na kubali Lissu sio hao uliowataja.Huu utabiri usio na base, mlisema hivyo sana, kuwa upinzani umekufa.Lakini kinachoonekana field baada ya miaka minne na ushee ni tofauti.
Mlisema ACT itakuwa chama kikuu cha upinzani lakini huku bara haionekani kuwa hivyo.
Tunaona tu polisi wakilazimika kutumia nguvu, vyombo vya habari vikiwa na hofu...haijawahi kuwa hivi baada ya kuanza kwa vyama vingi.
Acha mapenzi, tumia logic and fact.
NB: Kama janja janja za kipuuzi zitatumika, nchi inaingizwa pagumu ,huyu Lissu sio Mrema,Lowasa,Mbowe wala Dr Slaa. Ni mtu ambae anajisimamia bila hofu,kabla,wakati na baada ya uchaguzi.
Cha msingi jitahidi kuwa na akiba ya kifedha, na passport karibu.
Ni smart sana lakini Integrity ya Slaa inayumba mkuu.Na kubali Lissu sio hao uliowataja.
Ila CHADEMA haijawahi pata Mtu Smart kama Dkt. Slaa.
Wanaishi kwa upambeee wa 7000Wewe mamluki uongo wako hakuna anayekusikiliza
Zingatia makafara MawiliWanabodi, mambo sio mambo huko kusini naona sasa Salum Mwalimu ameanza kutumia Ngekewa kama ya Lissu huko Nachingwea kwa kuanza kujaza wafuasi barabarani na viwanjani.
Siku saba za Lissu likizo ni dhahiri kamzizi au dawa ya mvuto amemkabidhi Salum Mwalim, Salum Mwalim anaitumia ngekewa vizuri huko mikoa ya Kusini.
Ule umati huko Nachingwea nina hakika ni dawa au mizizi ya Tundu Lissu ya mvuto.
Kama sio ngekewa au uchawi basi CCM tuna kazi ndefu sana ya kufanya tukichaguliwa na kupewa nafasi na wananchi.
All in all tutashinda kwa mbinu za kisasa zaidi na zilizoboreshwa.