Uchaguzi 2020 Je, Salum Mwalimu ameanza kutumia ngekewa kuiangamiza CCM mikoa ya Kusini?

Mtaisoma namba
tutaisoma number kama inasomeka, tatizi ni nyie ambao hamuoni na hamtaki kutumia miwani, hata kabla uchaguzi haujafanyika mshaanza kulalamika. Lakini hata kwa chupa mataona safari hii, na kilimilimi chenu kitazimwa for ever.
 
Kama ndio mna Imani hizo Basi mlishafilisika,sio tuu kisiasa Bali hata kifikra .Kwa nanna hiyo mkipata nafasi mtakuwa mkitarajia nguvu za Giza zilete maendeleo , badala ya kuacha ubaguzi na kufanya maendeleo shirikishi.
 
Ccm haina faida kwao watu wa kusini Zaid ya kuwaletea umasikini.
Wakulima uingia gharama kulima mazao wakitaka kuuza nje kwenye bei nzuri vikwazo tele
 
Mtajua hamjui mwaka huu
 
Ugumu wa maisha ulioletwa na awamu hii iliyokosa kibali kwa Mungu imesambaratisha familia nyingi baada ya Hali ya uchumi kufa kwenye familia. Imepelekea watoto walazimike kuingia kwenye majukumu yasiyo yao ya kujilea.

Nimeumia kuona watoto wadogo wanaotakiwa wafikirie kucheza na kusoma tu eti wanaokota makopo wakauze wapate pesa ya chakula, ni ukatili kwa watoto kuwanyima haki zao za msingi yote haya yamesababishwa na mtu mmoja kuamua kuumiza wanadamu wenzake Kama fadhila ya punda.
 
Nashukuru kukubali kuwa CCM itashinda kwa kutumia mbinu za kisiasa zisizo halali. Aksante.
 
kipindi kile cha koroshow.....nilipita Newala nikakuta makada wa CCM wamechoka kabisa .....nikajua wanajambo lao 28/10
Wana ntwara Sasa malizeni kazi kabisa.muwathibitishie kuwa roho zao ni za korosho.Wakisimama nchale, akitembea nchale,wakikimbia nchale.Hakikisheni wachimumunye Wala wachiteme.Kazi malizeni October 28.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…