Je, Samatta atafanya makubwa EPL?

Je, Samatta atafanya makubwa EPL?

Kwa uchezaji alio cheza leo inaonyesha kabisa huyu jamaa hamna kitu, yaani hawezi kucheza ligi ya Uingereza. Magoli ya uchi anakosa kabisa, Villa walikurupuka katika usajili wa Samatta.
Wewe ndio kiazi kabisa
 
Ronaldo hafungi magoli ya free kick?

Ha assist?

Sent using Jamii Forums mobile app
Usimfananishe Ronaldo na mambo ya "ajabu".
Turudi kwa mtoa mada, leo Samatta hakuwa na kiwango bora, ila sio vyema kumfanyia tathmini kwa kutumia mechi ya leo pekee, tumpe muda.
Mimi binafsi bado nina imani naye, jambo la msingi aendelee kujituma ili asituangushe Watanzania wenzake tunaomuamini.
Ronaldo kafunga freeckick 55 messi 45 naomba umuheshimu ronaldo ni hayo tu
Wewe utakua mlevi, Ronaldo hafungi free kick?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiondoa messi nani mwingine anayeongza kwa assist hapa duniani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo nyie mnachukulia all time statistics hata za kipindi anachezea sporting CP
Mimi naongelea ronaldo does santos Wa sasa....ni magoli ya vichwa tu na kusubiriwa kutengewa kwenye box kama bwana mbwana Ali samata
 
Tatizo nyie mnachukulia all time statistics hata za kipindi anachezea sporting CP
Mimi naongelea ronaldo does santos Wa sasa....ni magoli ya vichwa tu na kusubiriwa kutengewa kwenye box kama bwana mbwana Ali samata
Hata Ronaldo wa sasa ni "ujinga" kumfananisha na Samatta.
 
Binamu niliwahi kuambiwa kumchukia mtu pasi sababu ni sehemu ya msongo wa mawazo eti. 😎

Binamu nililala nakuja kuamka dkk ya 77 nikamalizia zilizobakia. Sikuwa najua kama alianza aiseee. Japo nilimuona akishangilia goli lile la Mmisri.

Nionavyo mleta uzi atenge muda zaidi kumfuatilia.
elewa chuki nanmtazamo unatumia nini kufikir
 
Kwa uchezaji alio cheza leo inaonyesha kabisa huyu jamaa hamna kitu, yaani hawezi kucheza ligi ya Uingereza. Magoli ya uchi anakosa kabisa, Villa walikurupuka katika usajili wa Samatta.
Huu ndo uchawi,ukiskia uchaw ndo huu ****.mae
 
Kwa kiwango alichoonesha leo, basi Samatta ajiandae kukalia "ubao", pia nimesikia jamaa (Aston Villa) wanamtaka Sturridge.
Kama ataendelea kupuyanga uwanjani kwa mtindo huu wa leo basi atakalia "ubao" mpaka makalio yatawaka moto.
Ila bado nina imani naye, aendelee kupambana tu.
Naunga mkono hoja...
Mlugulu kazingua, na alitakiwa atoke kipindi cha kwanza tu...
Ni zaidi ya uharo alioucheza jana
 
Mashabiki wengi mnapo kuwa mnaangalia soccer mnaona ni kitu fulani rahisi sana lakini wakikwambia uingie uende kucheza ujionee uhalisia utaukubali mziki, utajifunza kumuheshimu mwana kandanda yeyote unaye muona,
Ndio maana wakaitwa washabiki.
Ukweli ni kuwa mlugulu jana kachamba
 
Back
Top Bottom