General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Watu waliloga jana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaambiwa sio mzalendo mkuu.Samata Jana alikuwa anarukaruka tu uwanjani haelewek anachofanya soon anaanza kusugua bench
Wewe ndio kiazi kabisaKwa uchezaji alio cheza leo inaonyesha kabisa huyu jamaa hamna kitu, yaani hawezi kucheza ligi ya Uingereza. Magoli ya uchi anakosa kabisa, Villa walikurupuka katika usajili wa Samatta.
Hahahahah tunasubil kuitwa hater😂😂Utaambiwa sio mzalendo mkuu.
😀😀
Mimi kwa bahati mnaya sikuuona huo mpira/mechi.
-------------
Je ndg yetu alicheza kwa kiwango gani?,je ataweza kumudu mikiki mikiki ya ligi hiyo?
-------------
Endapo alipaform low huenda ni woga wa mechi ya kwanza.
Kamati Ya Roho Mbaya!!!
Kuna Member Anaitwa Tunakodisha Bunduki
Huna tofauti na JamesKwa uchezaji alio cheza leo inaonyesha kabisa huyu jamaa hamna kitu, yaani hawezi kucheza ligi ya Uingereza. Magoli ya uchi anakosa kabisa, Villa walikurupuka katika usajili wa Samatta.
naitwa Kitombi(se), je ww waitwa nani?Duh! Mkuu unaitwa nani!? 😅
Usimfananishe Ronaldo na mambo ya "ajabu".
Turudi kwa mtoa mada, leo Samatta hakuwa na kiwango bora, ila sio vyema kumfanyia tathmini kwa kutumia mechi ya leo pekee, tumpe muda.
Mimi binafsi bado nina imani naye, jambo la msingi aendelee kujituma ili asituangushe Watanzania wenzake tunaomuamini.
Ronaldo kafunga freeckick 55 messi 45 naomba umuheshimu ronaldo ni hayo tu
Tatizo nyie mnachukulia all time statistics hata za kipindi anachezea sporting CP
Hata Ronaldo wa sasa ni "ujinga" kumfananisha na Samatta.Tatizo nyie mnachukulia all time statistics hata za kipindi anachezea sporting CP
Mimi naongelea ronaldo does santos Wa sasa....ni magoli ya vichwa tu na kusubiriwa kutengewa kwenye box kama bwana mbwana Ali samata
acha kufananisha EPL NA UPUUZIAcha kufananisha La liga na vitu vyakijinga.
elewa chuki nanmtazamo unatumia nini kufikirBinamu niliwahi kuambiwa kumchukia mtu pasi sababu ni sehemu ya msongo wa mawazo eti. 😎
Binamu nililala nakuja kuamka dkk ya 77 nikamalizia zilizobakia. Sikuwa najua kama alianza aiseee. Japo nilimuona akishangilia goli lile la Mmisri.
Nionavyo mleta uzi atenge muda zaidi kumfuatilia.
Huu ndo uchawi,ukiskia uchaw ndo huu ****.maeKwa uchezaji alio cheza leo inaonyesha kabisa huyu jamaa hamna kitu, yaani hawezi kucheza ligi ya Uingereza. Magoli ya uchi anakosa kabisa, Villa walikurupuka katika usajili wa Samatta.
Naunga mkono hoja...Kwa kiwango alichoonesha leo, basi Samatta ajiandae kukalia "ubao", pia nimesikia jamaa (Aston Villa) wanamtaka Sturridge.
Kama ataendelea kupuyanga uwanjani kwa mtindo huu wa leo basi atakalia "ubao" mpaka makalio yatawaka moto.
Ila bado nina imani naye, aendelee kupambana tu.
Ndio maana wakaitwa washabiki.Mashabiki wengi mnapo kuwa mnaangalia soccer mnaona ni kitu fulani rahisi sana lakini wakikwambia uingie uende kucheza ujionee uhalisia utaukubali mziki, utajifunza kumuheshimu mwana kandanda yeyote unaye muona,