Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wachawi wameamka.Kwa kiwango alichoonesha leo, basi Samatta ajiandae kukalia "ubao", pia nimesikia jamaa (Aston Villa) wanamtaka Sturridge.
Kama ataendelea kupuyanga uwanjani kwa mtindo huu wa leo basi atakalia "ubao" mpaka makalio yatawaka moto.
Ila bado nina imani naye, aendelee kupambana tu.
Hivi Samatta ana umri gani?Ni vyema ukazingatia na umri ambao Adama Traore alikuwa nao kipindi anapita hapo.
Ni rahisi sana kuona makosa ukiwa nje ya uwanja ila ukiingia kati mle unaweza ukawa unazunguka zunguka tu kama katuni na kuacha mashabiki hawana mbavu 🤣🤣🤣
Kwani ndugu wakati anaanza kucheza soka la kimataifa alianzaje? Mbona asubuhi tu unaanza kuongea maneno hasi kiasi hiki?Aongeze kiwango.
Pia atambue Aston Villa bado wapo sokoni wanataka kuongeza striker mwingine, kuna tetesi kuwa wanamtaka Sturridge, hivyo anatakiwa akaze "makalio" kwelikweli, kama wataongeza mshambuliaji mwengine kabla ya dirisha la usajili kufungwa atakuwa na upinzani mkubwa kwenye kupata nafasi katika kikosi cha kwanza.
"Aongeze kiwango"Kwani ndugu wakati anaanza kucheza soka la kimataifa alianzaje? Mbona asubuhi tu unaanza kuongea maneno hasi kiasi hiki?
Uoga,hofu na kutojiamini ni mambo yanayomsibu kila mtu Kwa mara ya kwanza katika kufanya Jambo lenye pressure kubwa hata wewe unajua (sema unajitoa ufahamu) iweje sasa umchambue Samatta Kwa mechi moja Ile ya Jana huku akiwa na pressure ya kucheza timu kubwa, pressure ya washabiki,kocha na viongozi wa timu yake ya sasa,Genk,Africa na watanzania?
Lakini kumbuka kutunza maneno yako utakapoona hata kwenye fainali yenyewe hiyo Tu akikiwasha...
27 yrs.
Siwezi kusifia ovyo, tusameheane tu.wachawi wameamka.
Hivi viroba si vilipigwa marufuku???Sammata ni kama ronaldo
Hawadribble
Hawaassist
Hawakabi
Hawa play make
Hawafungi freeckick
Wao ni kufunga tu ikipatikana bahati
Umenena vema mkuu"Aongeze kiwango"
Nimepunguza maneno mengi mkuu.
Narejea kuongea
ASTON VILLA WAMETAPELIWA PESA ZAO.
Mda mwengine ni bora usitumie kuliko kujitia hasara.
Kinachokuuma nini au unawashwa washwa
Mkuu ile mechi kumbuka ilikuwa na pressure kubwa sana mpira ulikuwa hauna utulivu, kumbuka ile ilikuwa ni nusu fainali na pia ni mchezo wake wa kwanza. Binafsi sijaona kosa la Samatta kwenye mchezo sababu alikuwa anamikimbio inayostahili na alikuwa anakaa kwenye nafasi sema hakupata mipira ya kutosha. Kama ni kukosa ile nafasi moja ya wazi mbona Martial anakosaga nyingi tu pale Man U.Kwa kiwango alichoonesha leo, basi Samatta ajiandae kukalia "ubao", pia nimesikia jamaa (Aston Villa) wanamtaka Sturridge.
Kama ataendelea kupuyanga uwanjani kwa mtindo huu wa leo basi atakalia "ubao" mpaka makalio yatawaka moto.
Ila bado nina imani naye, aendelee kupambana tu.
Were unacheza ligi ya kitandani tu na mmeo?Kwa uchezaji alio cheza leo inaonyesha kabisa huyu jamaa hamna kitu, yaani hawezi kucheza ligi ya Uingereza. Magoli ya uchi anakosa kabisa, Villa walikurupuka katika usajili wa Samatta.
Bado nina imani na Samatta, aendelee "kupigana".Mkuu ile mechi kumbuka ilikuwa na pressure kubwa sana mpira ulikuwa hauna utulivu, kumbuka ile ilikuwa ni nusu fainali na pia ni mchezo wake wa kwanza. Binafsi sijaona kosa la Samatta kwenye mchezo sababu alikuwa anamikimbio inayostahili na alikuwa anakaa kwenye nafasi sema hakupata mipira ya kutosha. Kama ni kukosa ile nafasi moja ya wazi mbona Martial anakosaga nyingi tu pale Man U.
Aisee Samata lazima akutoe kibiongo na kukutia kiungulia, kila unalotamani halitimii, chuki hazijawahi kushinda popote.Narejea kuongea
ASTON VILLA WAMETAPELIWA PESA ZAO.
Mda mwengine ni bora usitumie kuliko kujitia hasara.