Je, Samatta atafanya makubwa EPL?

Je, Samatta atafanya makubwa EPL?

Tusimuongezee mtu pressure ambazo hazina ulazima..., football is a game meant to be enjoyed.., haya mambo ya kwamba sijui nchi nzima ipo nyuma yake ni kujipa msongo wa mawazo.., yeye acheze kwa ajili yake na familia yake mengine ni ziada
 
Kwa kiwango alichoonesha leo, basi Samatta ajiandae kukalia "ubao", pia nimesikia jamaa (Aston Villa) wanamtaka Sturridge.
Kama ataendelea kupuyanga uwanjani kwa mtindo huu wa leo basi atakalia "ubao" mpaka makalio yatawaka moto.
Ila bado nina imani naye, aendelee kupambana tu.
wachawi wameamka.
 
Aongeze kiwango.
Pia atambue Aston Villa bado wapo sokoni wanataka kuongeza striker mwingine, kuna tetesi kuwa wanamtaka Sturridge, hivyo anatakiwa akaze "makalio" kwelikweli, kama wataongeza mshambuliaji mwengine kabla ya dirisha la usajili kufungwa atakuwa na upinzani mkubwa kwenye kupata nafasi katika kikosi cha kwanza.
Kwani ndugu wakati anaanza kucheza soka la kimataifa alianzaje? Mbona asubuhi tu unaanza kuongea maneno hasi kiasi hiki?

Uoga,hofu na kutojiamini ni mambo yanayomsibu kila mtu Kwa mara ya kwanza katika kufanya Jambo lenye pressure kubwa hata wewe unajua (sema unajitoa ufahamu) iweje sasa umchambue Samatta Kwa mechi moja Ile ya Jana huku akiwa na pressure ya kucheza timu kubwa, pressure ya washabiki,kocha na viongozi wa timu yake ya sasa,Genk,Africa na watanzania?

Lakini kumbuka kutunza maneno yako utakapoona hata kwenye fainali yenyewe hiyo Tu akikiwasha...
 
"Aongeze kiwango"
Nimepunguza maneno mengi mkuu.
 
Narejea kuongea

ASTON VILLA WAMETAPELIWA PESA ZAO.

Mda mwengine ni bora usitumie kuliko kujitia hasara.
 
Kwa kiwango alichoonesha leo, basi Samatta ajiandae kukalia "ubao", pia nimesikia jamaa (Aston Villa) wanamtaka Sturridge.
Kama ataendelea kupuyanga uwanjani kwa mtindo huu wa leo basi atakalia "ubao" mpaka makalio yatawaka moto.
Ila bado nina imani naye, aendelee kupambana tu.
Mkuu ile mechi kumbuka ilikuwa na pressure kubwa sana mpira ulikuwa hauna utulivu, kumbuka ile ilikuwa ni nusu fainali na pia ni mchezo wake wa kwanza. Binafsi sijaona kosa la Samatta kwenye mchezo sababu alikuwa anamikimbio inayostahili na alikuwa anakaa kwenye nafasi sema hakupata mipira ya kutosha. Kama ni kukosa ile nafasi moja ya wazi mbona Martial anakosaga nyingi tu pale Man U.
 
Bado nina imani na Samatta, aendelee "kupigana".
 
Back
Top Bottom