ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Hii HOJA inanitatiza sana, nilisikia Kauli kuwa Tamasha la Mama Kizimkazi limedhaminiwa na Rais Samia, ila nimejaribu kudadavua sijapata kuelewa hata kidogo.
Viongozi karibu wote wa serikali wamekuwa wakiita Fedha za bajeti kuu ya serikali kuwa ni Fedha za mama, na kwamba miradi yote ya maendeleo ni mama Huwa analeta Fedha ambazo kiuhalisia ni Fedha za mfuko Mkuu wa bajeti.
Sasa sote tunajua ukweli kuwa Fedha za serikali zimetumika katika kuwezesha sikukuu ya kizimkazi , lakini pia pesa za watu binafsi na makampuni pia zimetumika.
Hata Sasa ukienda karibu Kila ofisi ya umma utakuta wafanyakazi wametumia Fedha za bajeti ya serikali kujilipa posho ya kwenda Zanzibar kushiriki tamasha la kizimkazi. Kiuhalisia serikali ilihamia huko.
Sasa serikali iseme ukweli kuwa imetumia Kodi za wananchi,