CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 12,134
- 27,519
Hizi Jumuiya zinawabembeleza sana ,WAHUNI ni wabishi inatakiwa wapigwe BAN moja kwa moja bila maelezo.4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU (The Ultimatum)
Kutoka Jumuia ya madola
Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:
- Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.
- Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.
- Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.
Je selikali itafanyaje kwa muda iliyopewa?
- Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.
MWISHO WA UBAYA AIBU.
Tanzania ni Sovereignty state hatuwezi kukubali kuingiliwa katika mambo yetu ya ndani, alisikika akisemaHizi Jumuiya zinawabembeleza sana ,WAHUNI ni wabishi inatakiwa wapigwe BAN moja kwa moja bila maelezo.
Wajinga wanafikiri wamejificha kwenye hicho kichaka, kumbe matako yote yako wazi.Tanzania ni Sovereignty state hatuwezi kukubali kuingiliwa katika mambo yetu ya ndani, alisikika akisema
Gentleman,4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU (The Ultimatum)
Kutoka Jumuia ya madola
Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:
- Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.
- Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.
- Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.
Je selikali itafanyaje kwa muda iliyopewa?
- Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.
MWISHO WA UBAYA AIBU.
Kuna kila dalili ya watu kupiga chafya ngumu.4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU (The Ultimatum)
Kutoka Jumuia ya madola
Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:
- Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.
- Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.
- Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.
Je selikali itafanyaje kwa muda iliyopewa?
- Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.
MWISHO WA UBAYA AIBU.
Wabaki kusema hivyo hivyo huku wakibanwa kote kote.Tanzania ni Sovereignty state hatuwezi kukubali kuingiliwa katika mambo yetu ya ndani, alisikika akisema
Hesabu 23:23. Hakika hapana uchawi juu ya Yakobo wala uganga juu ya Israel. Sasa habari za Yakobo na Israel zitasemwa,ni mambo gani aliyoyatenda Mungu. Amen. Hawa WAHUNI wamezoea kutumia waganga kupumbaza watu kwenye uhuni wao. Ila damu za watu zilizomwagika hazitakuwa zimemwagika bure! Uchawi na uganga umeshindwa kwa Jina la Yesu. Kuna watu lazima kiwarambe!Hizi Jumuiya zinawabembeleza sana ,WAHUNI ni wabishi inatakiwa wapigwe BAN moja kwa moja bila maelezo.
Kazi mnayo ,jibu Hoja!Gentleman,
Serikali sikivu ya ccm chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan, inawajibika kwa wananchi wa Tanzania, na ipo kazini kutekeleza ilani ya uchaguzi ya ccm na si vinginevyo.
Ni muhimu sana wadau wote wa JF kufahamu kwamba,
Serikali ya Tanzania haiwajibiki kwa Ted Cruz, David McAllister wala Shirley Botchwey au kwa vibaraka wao waliomo humu nchini
zingatia ukweli kwenye maelezo yangu ya msingi gentleman na itakusaidia sana gentleman wewe pamoja na wadau wengine wa JFKazi mnayo ,jibu Hoja!
The mazafakas are damned if they do and damned if they don’t. Wakimeza, nchale; wakitema, nchale!4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU (The Ultimatum)
Kutoka Jumuia ya madola
Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:
- Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.
- Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.
- Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.
Je selikali itafanyaje kwa muda iliyopewa?
- Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.
MWISHO WA UBAYA AIBU.
Nanukuu:".......alisikika akisema"Tanzania ni Sovereignty state hatuwezi kukubali kuingiliwa katika mambo yetu ya ndani, alisikika akisema
Mkeka umesimama4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU (The Ultimatum)
Kutoka Jumuia ya madola
Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:
- Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.
- Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.
- Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.
Je selikali itafanyaje kwa muda iliyopewa?
- Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.
MWISHO WA UBAYA AIBU.
Naam. Historia ni mwalimu mzuri sana.Wabaki kusema hivyo hivyo huku wakibanwa kote kote.
Na kamasi nyingi....Kuna kila dalili ya watu kupiga chafya ngumu.
Ndiyo. Tafakari na Tafakuri vimetamalakiMkeka umesimama
Mmmh!? Hawa jamaa wanayo historia kwenye utekelezaji wa kile wanachosema au kuagiza. Tusubiri- Muda utasema.Kutamka tu 'ndani ya siku 30' bila kuanzisha mwanzo wa ultimatum ni ujuha. Vipi ikienda hadi 2050?