Ni kweli ni Nchi huru. We definitely display our sovereignty by killing and kidnapping our own Citizens.Tanzania ni Sovereignty state hatuwezi kukubali kuingiliwa katika mambo yetu ya ndani, alisikika akisema
Ni kweli ni Nchi huru. We definitely display our sovereignty by killing and kidnapping our own Citizens.Tanzania ni Sovereignty state hatuwezi kukubali kuingiliwa katika mambo yetu ya ndani, alisikika akisema
Kisheria ndani ya siku 30 inatafsiriwa kama tangu siku tamko lilipo toka kwa maandishi.Kutamka tu 'ndani ya siku 30' bila kuanzisha mwanzo wa ultimatum ni ujuha. Vipi ikienda hadi 2050?
Nilidhani Uchawa huwa unakwenda mbali zaidi kwa kuishauri Serikali kutokuteka na kupoteza Raia wake......Gentleman,
Serikali sikivu ya ccm chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan, inawajibika kwa wananchi wa Tanzania, na ipo kazini kutekeleza ilani ya uchaguzi ya ccm na si vinginevyo.
Ni muhimu sana wadau wote wa JF kufahamu kwamba,
Serikali ya Tanzania haiwajibiki kwa Ted Cruz, David McAllister wala Shirley Botchwey au kwa vibaraka wao waliomo humu nchini![]()
Wanaweza kututenga au kutususia mambo yetu. Nchi itakuwa imejifungulia yenyewe mlango kwa maadui wa nje na ndani kufanya lolote dhidi ya uongozi wa nchi yetu e.g. kuvamiwa na mkundi ya kigaidi, tutakosa kibali cha kununua silaha za kujilinda( tutakuwa wadhaifu na wanyonge sana kijeshi), nk.n.kWasipotekeleza kitatokea nini?
Wewe chawa hata kiingereza hujui sasa si uandike tu lugha unayoielewa hata kama ni kisukuma au kingoni.Tanzania ni Sovereignty state hatuwezi kukubali kuingiliwa katika mambo yetu ya ndani, alisikika akisema
jikite kwenye porojo iliyoko mezani na itapendeza zaidi,Nilidhani Uchawa huwa unakwenda mbali zaidi kwa kuishauri Serikali kutokuteka na kupoteza Raia wake......
Chawa hawezi kufahamu vitu kama hivi kwa sababu chawa ni pepo.Wanaweza kututenga au kutususia mambo yetu. Nchi itakuwa imejifungulia yenyewe mlango kwa maadui wa nje na ndani kufanya lolote dhidi ya uongozi wa nchi yetu e.g. kuvamiwa na mkundi ya kigaidi, tutakosa kibali cha kununua silaha za kujilinda( tutakuwa wadhaifu na wanyonge sana kijeshi), nk.n.k
Nadhani ni kuanzia Tarehe 10 July mkuu.Kutamka tu 'ndani ya siku 30' bila kuanzisha mwanzo wa ultimatum ni ujuha. Vipi ikienda hadi 2050?
Siku ya kutoa waraka huo ndio day 1. acha ujuaKutamka tu 'ndani ya siku 30' bila kuanzisha mwanzo wa ultimatum ni ujuha. Vipi ikienda hadi 2050?
Dah! Mama wa watu mtamuua kwa presha bure. Yeye kama Yeye mtu binafsi anaambulia tu matokeo ya Ushauri mbovu-Upotoshwaji kutoka kwa wasaidizi wake. Wahenga walisema Kiongozi ni Jalala.Mama ameanza kugombana na thabiti kombo baada ya kuona ziara zake za ulaya zimeshindwa kuzaa matunda.
Kaona Bora akae pembeni huku zigo lote amembebesha samia
NDIO4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU (The Ultimatum)
Kutoka Jumuia ya madola
Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:
- Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.
- Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.
- Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.
Je selikali itafanyaje kwa muda iliyopewa?
- Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.
MWISHO WA UBAYA AIBU.
Naam. Waraka ulitolewa tar.10 July 2026.Siku ya kutoa waraka huo ndio day 1. acha ujua
Hawana ujanja. Ukaidi pekee wanaoweza kufanya ni wa kujitoa kama alivyofanya Mugabe 2003. Otherwise, suspension itawahusu mpaka wakae kwenye mstari.Wasipotekeleza kitatokea nini?
Wana formal suspension mechanism tangu miaka ya 1990s!Mmmh!? Hawa jamaa wanayo historia kwenye utekelezaji wa kile wanachosema au kuagiza. Tusubiri- Muda utasema.
Itatuhusu.Wana formal suspension mechanism tangu miaka ya 1990s!
Inawajibika kuwaua au sio?inawajibika kwa wananchi wa Tanzania