Je Selikali Itafyata mkia kwa masharti kutoka kwa Jumuia ya Madola (Commonwealth)?

4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU (The Ultimatum)
Kutoka Jumuia ya madola

Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:
  • Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.

  • Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.

  • Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.

  • Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.
Je selikali itafanyaje kwa muda iliyopewa?

MWISHO WA UBAYA AIBU.
Hivi hii Hadithi yenu na yenyewe yaendeleaje!
Manake Lissu bado yuko Mahabusu
 
Siku 6O zimeyoyoma
 
Back
Top Bottom