Je Selikali Itafyata mkia kwa masharti kutoka kwa Jumuia ya Madola (Commonwealth)?

Nilidhani Uchawa huwa unakwenda mbali zaidi kwa kuishauri Serikali kutokuteka na kupoteza Raia wake......
 
Wasipotekeleza kitatokea nini?
Wanaweza kututenga au kutususia mambo yetu. Nchi itakuwa imejifungulia yenyewe mlango kwa maadui wa nje na ndani kufanya lolote dhidi ya uongozi wa nchi yetu e.g. kuvamiwa na mkundi ya kigaidi, tutakosa kibali cha kununua silaha za kujilinda( tutakuwa wadhaifu na wanyonge sana kijeshi), nk.n.k
 
Tanzania ni Sovereignty state hatuwezi kukubali kuingiliwa katika mambo yetu ya ndani, alisikika akisema
Wewe chawa hata kiingereza hujui sasa si uandike tu lugha unayoielewa hata kama ni kisukuma au kingoni.

Halafu ukiweka uchawa pembeni ndio utaelewa kwamba hao hawajakufanya kuwa ombaomba ni ufisadi wa watawala wako ndio umeleteleza yote hayo.

Sasa kama Russia na Iran kila siku wanalia vikwazo Tanzania ni takataka gani.
 
Nilidhani Uchawa huwa unakwenda mbali zaidi kwa kuishauri Serikali kutokuteka na kupoteza Raia wake......
jikite kwenye porojo iliyoko mezani na itapendeza zaidi,

huna haja ya kumbwelambwela vitu useless jukwaani 🐒
 
Chawa hawezi kufahamu vitu kama hivi kwa sababu chawa ni pepo.
 
Mama ameanza kugombana na thabiti kombo baada ya kuona ziara zake za ulaya zimeshindwa kuzaa matunda.
Kaona Bora akae pembeni huku zigo lote amembebesha samia
 
Mama ameanza kugombana na thabiti kombo baada ya kuona ziara zake za ulaya zimeshindwa kuzaa matunda.
Kaona Bora akae pembeni huku zigo lote amembebesha samia
Dah! Mama wa watu mtamuua kwa presha bure. Yeye kama Yeye mtu binafsi anaambulia tu matokeo ya Ushauri mbovu-Upotoshwaji kutoka kwa wasaidizi wake. Wahenga walisema Kiongozi ni Jalala.
 
NDIO
 
Tena wakigomea kutekekeza, litakuwa jambo la heri kwa wanaotaka wauaji wawajibike kwa uovu wao. Kwa uhakika uliopo, jumuia ya madola imetoa hilo tamko ili kukamilidha process. Wakigomea tu, tangazo la ICC la kuraka wakamatwe wahusika wote, ndipo litatolewa, na Jumuia ya Madola itakuwa imejisafisha kuwa ilifanya kika jitihada kutaka kuweka mambo sawa ndani ya nchi mwanachama, lakini ilishindikana.

Wagomee hayo mapendekezo, ndipo watajua kuwa kuna mwanadamu mmoja, familia na nchi, kisha kuna jumuia ya Ulimwengu, ambayo ni kubwa kuliko nchi yoyote.
 
Hapo kufidia wahanga pakitekelezwa kuna upigaji wa pesa ya maana kwa mafisadi halafu wengi hawatafikiwa,kwa nini?

Mfano: Umoja wa wamiliki wa vituo vya mafuta kwenye taarifa yao walisema ni vituo 41 pekee viliharibiwa huku PM kwenye taarifa aliyoitoa alidai ni vituo 672!!

Report ile imetaja idadi ya watu 500 kuuawa lakini kwa ground hamna uhalisia hata chembe,je utafanyika uhakiki wa wazi wa wahanga halisi kupitia serikali za mitaa? Idadi ikipatikana tofauti na ya tume itawekwa hadharani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…