Je Selikali Itafyata mkia kwa masharti kutoka kwa Jumuia ya Madola (Commonwealth)?

Kama wamegomewa wale wajumbe kutoka kamati za bunge la EU kuja nchini,itakuwa Common Wealth?

Kwani Subwoofer wa gavo bado hajatema cheche kuhusu hilo?
 
Tuliza komwe bwamdogo Tanzania ni Sovereignty state hatuwezi kuingiliwa kwenye mambo yetu ya ndani , alisikika akisema.
 
Huo ni mtihani mzito sana ila inawezekana kabisa kiutekelezaji; alimradi kuwe na nia thabiti na uaminifu wa hali ya juu.
Taarifa za majukwaani ni propaganda sio Taarifa Rasmi.
Matokeo ya Uhakiki wa wazi endapo utafanyika, inabidi iwekwe hadharani ili asije tena mtu baadaye kudai hakufikiwa na wadodosaji. Aidha atakayepatikana kujaribu kudanganya (Forgery) hatua za kisheria zichukuliwe haraka dhidi yake.
Malipo ya fidia yanaweza kuwa Outsourced
 
Kwa hiyo serikali inaposaini mikataba ya kimataifa na kujiingiza ktk jumuiya mbalimbali inakuwa haielewi inafanya nn sio?
 
Serikale ambayo haijachaguliwa na watu ni sikivu!
Rais Fake Kapatikana kwa kura Fake na kapatikana kimiujiza yani kura zilipigwa Milioni 32.7 kwa muda wa saa 6 pekee.
Zikahesabiwa ndani ya saa 72 .
maana yake kura 126 zilihesabiwa kwa sekunde 1 na kura 7569 kwa dakika moja tu.
 
Hiyo sio kweli kwani hana akili kwa sababu ana haki ya kukataa ushauri mbovu. Yeye ameamua tu kufanya uovu na hana kisingizio.
Sio rahisi kukubali ukweli kwamba jinsia ya Ke aghalabu huamini kiwepesi-wepesi tu bila kudodosa undani wa mtego.
 
Wanatupa ultimatum wao kama nani-"Who are they" ?

Hili ndiyo jibu la "serekale" yako kwa CMAG.

Kwanza "sisi ni serekale huru na hakuna mutu ya kututishia: Mabeooo?-weka geshi stendibai.

Sisi ni jiwe—tena jiwe kweri kweri".
 
13 August 2026
Lilongwe, Malawi

Malawi's speaker calls on Commonwealth parliaments to be accountable to people - SADC


View: https://m.youtube.com/watch?v=vdTiH78dgcAThe 55th CPA Africa Regional Conference was officially opened by the Speaker of the Parliament of Malawi and President of the CPA Africa Region, Hon. Sameer Gaffar Suleman, MP, on behalf of the President of Malawi

Malawi's Speaker of Parliament, Sameer Suleman, has urged CPA Africa parliaments to prioritize people's needs, promote justice and equity, and remain accountable. He was speaking at the 55th CPA Africa Region Conference in Lilongwe.

The CPA Africa Region is one of nine CPA Regions across the Commonwealth, and it comprises 63 national and subnational Legislatures, and its Regional Secretariat is based in the Parliament of Tanzania.

Source : Eye on SADC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…