Je, Serikali ikinyimwa mkopo wa elimu na Benki ya Dunia kutatokea nini?

..tuna sheria kali.

..lakini tatizo halionekani kupungua.

..Nini kifanyike?
Hata mabinti wafungwe. Kama Mungu aliweka sheria kwenye vitabu vyake kwamba kosa la zinaa adhabu ni kwa wote wawili, basi ni bora na sisi tuweke hivyo hivyo.
 
Zitto Usirudi Bongoo Ng'ooo..
.

Atarudi sana, kama world Bank wanamsikiliza Zito na kufanya maamuzi, si bora awe rais yeye ili akitaka mkopo wowote awaambie tu kisha watupe? Bado kuna watu wanadhani tumelala hatuwezi kujua kipi kilichopelekea WB kuchukua hatua hiyo, bali walisubiri barua ya Zito? Acha Bank ya Dunia , hata CRDB haiwezi kusubiri barua ya Zito isitishe mkopo kwa taasisi yoyote, sembuse WB? Mkuu hivi unaichukulia WB kama Vicoba vya huko mtaani vinavyoendeshwa na standard seven lever? Nikiona mtu anasema Zito ndio kazuia huo mkopo kutoka, najua ni muumini wa siasa chafu na ni mrahisi kurubiniwa na propaganda mfu.
 
Serikali yetu ni serikali ya donor country.Ya nini kujipendekeza kwa donor country.Tutembee kifua mbere!were on the right track!Pesa ya ndani inatosha.

Kuna jitu kila siku kujisifu wakati linafilisi nchi shame on him

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ninashindwa kuelewa hizi kelele kuhusu uwezekano wa serikali kupatiwa mkopo wa elimu au la na Benki ya Dunia.

Kinachonishangaza zaidi ni kuona jinsi ambavyo baadhi ya viongozi waandamizi wa serikali/CCM wanalumbana na wanaharakati na baadhi ya viongozi wa upinzani hasa Zitto Kabwe kuhusu uhalali wa kupewa mkopo au la!

Nikipongeze sana Chama kikuu cha upinzani (CHADEMA) kwa kukaa kando katika malumbano haya ambayo kwa mtazamo wangu hayana mantiki yoyote katika jamii.

Nadhani CHADEMA wameelewa jinsi ambavyo suala la Mimba za utotoni na kuendelea na masomo linavyohitaji uangalifu mkubwa katika kulipatia ufumbuzi kisiasa.

Ukichunguza utagundua wananchi wengi wanadhani sio vizuri mwanafunzi aliyepata mimba, akajifungua halafu akarudi tena kwenye darasa lenye wanafunzi wasio na watoto na kuendelea na masomo. Haishangazi kuona watu wengi wanapinga kwa sababu wananchi wengi nchini bado ni conservative lakini pia imani za dini zinakataza msichana kupata Mimba kabla ya kuolewa.

Wanaharakati na baadhi ya viongozi wa upinzani hasa Zitto wanaona ni sawa mwanafunzi aliyepata mimba ya utotoni na kujifungua lazima arudi tena kwenye darasa lenye wanafunzi wasio na watoto baada ya kujifungua na kuendelea na masomo.

Ieleweke kuwa moja ya sharti muhimu la kupata mkopo huo ni kuhakikisha wasichana wanapewa kipaumbele katika kupata elimu. Hii ni pamoja na wale ambao watapata mimba za utotoni.

Serikali imesema haiwezi kuruhusu wasichana waliozaa wasome darasa moja na wasichana ambao hawajazaa bali itawajengea shule zao na watasoma kwa miaka 2 badala ya minne kwa elimu ya sekondary (O-level) na kama watafaulu watakutana na wanafunzi wengine A-level.

Thamani ya mkopo ni dola za Kimarekani milioni 500. Hata hivyo, hizi pesa hazitolewi kwa mkupuo bali zitatolewa kidogo kidogo kwa miaka 7. Hii ina maana kuanzia 2020-2026.

Hapa chini ni Jedwali linaloonyesha jinsi ambavyo pesa zitatolewa kama mkopo utakubaliwa.
View attachment 1337756
Kama Mkopo utatolewa basi kwa mwaka huu wa fedha tutaletewa jumla ya dola za Kimarekani milioni 8.52 tu.

Ni aibu kwa pande zote hasa serikali kulumbana kupata mkopo badala ya kulumbana jinsi ya kukusanya mapato ya ndani na matumizi yake! Huu ni mkopo for God's sake!

Ni bora angalau malumbano haya yangekuwa ni kuhusu msaada (grant) kwa sababu hauna malipo kama ilivyokuwa kwenye Msaada (grant) wa thamani ya dola za kimarekani milioni 500 uliokuwa utolewe na serikali ya Marekani kupitia kitengo cha Millennium Challenge Corp (MCC) ambao ulisitishwa mwaka 2016.

Cha kujiuliza, Baada ya MCC kusitishwa mwaka 2016 kilitokea nini? Nani alinufaika na nani hakunufaika?

Je, huu mkopo ukitolewa, nani atanufaika na nani hatanufaika?

Je, huu mkopo usipotelewa, nani atanufaika na nani hatanufaika?

Haya ndio maswali muhimu ya kujiuliza?
Tutatumia pesa ambazo magufuli amesema zimejaa tele huko hazina
 
CCM aka gambas wanafuta hela ya uchaguzi, wamechota hela za EPA kipindi cha mkwere, wanachota na escrow, this time wanataka kutumia za mikopo maana za ndani zimeshaisha wamekomba zote.

Mwenyewe ulikuwa unalia lia,wameshakupa matango unageuka. Acha unafika mzee.

Baki na msimamo,tutaroboa kwa nguvu zetu,mkopo haulazimishwi. Kama wanaona hatistahili tutaenda kwa wanotuhitaji. Lakini nguvu tunazo na uwezo upo.

Acha kulia lia mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kwamba hakuna mwenye jeuri mbele ya fedha za "mabeberu". Lakini pamoja na ubeberu wao, wazungu wana sifa kuu moja; hawasikilizi na kuzingatia mawasiliano kutoka upande mmoja wa serikali peke yake, wanazingatia pia taarifa kutoka kwa mtu, chama au taasis yoyote ile. Kwa mantiki hiyo, mabeberu wamekuwa kama vile "baba" au mtetezi wa watawaliwa (wanyonge) dhidi ya watawala wao. Moja ya "fimbo" inayotumiwa na baba/mtetezi huyu katika kutoa onyo kwa watawala ni kuzuia misaada au mikopo kwa serikali ya kidhalim.

Chanzo cha sakata la mkopo huu ni "ulimbukeni" wa Magufuli wa kuonesha kuwa yeye ni "jiwe" lisiloyumba ambaye yuko tofauti sana na watangulizi wake ambao "waliwadekeza" wanafunzi wa kike na "kujipendekeza" kwa "mabeberu". Hulka ya "kujimwambafy" kwake, kunazua vita ya kisiasa na matokeo yake wanasiasa na wanaharakati wanaamua "kumchapa bakora" kwa kumfanyia "unoko" kwa "mabeberu".

Mimi napenda nione serikali (ya Magufuli) inanyimwa mkopo huu kwasababu zifuatazo.
1. Ili kuzuia kuongezeka kwa deni la taifa
2. Kudhihirisha nguvu, ushawishi na umuhimu wa watu, vyama au taasis zisizo na mamlaka ya kiserikali ili serikali ione umuhimu wa kuwashirikisha wengine katika kuyaendea mambo muhimu na kujenga maridhiano ya kitaifa.
3. Ili tuone uwezo wa serikali kufanya maendeleo kwa kutumia "fedha za ndani".
4. Ili rais ajifunze umuhimu wa kutafakari athari zinazoweza kutokana na kabla ya kutoa kauli zake.
5. Ili serikali ijifunze kutowadharau wakosoaji na wanaharakati. Kwamba watu hao wanaweza kuzuia au kuchelewesha mafanikia ya mipango yake.
 
Kwanza siwaungi mkopo hawa wanaofurahia mkopo huu kuzuiwa ila mleta mada Unashangaza sana..

Unadai:-

"imani za dini zinakataza msichana kupata Mimba kabla ya kuolewa" ...

Hapo umeandika in general ukimaanisha kuwa wanaopata mimba mashuleni wana makosa kwa kwenda kinyume na dini..

HUJUI KUNA WENGINE WANABAKWA, WENGINE WANALAZIMISHWA NA WAZAZI AU WALEZI WAO(bila hiari yao).???

Wengine hawajui chochote kuhusu hiyo dini unayoitaja wewe(wapagani)..

Ukimzuia asikae na wanafunzi ambao hawajazaa O-level kisha umruhusu akakae nao A-level, unakuwa umefikiria kwa kutumia nini ..???

Inawezekana Rais wetu alikuwa wale waalimu makauzu sana alipokuwa anafundisha, na waalimu wa namna hii ndiyo wanaamini haya unayoamini wewe, ndiyo maana anaonesha msimamo huu...

Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
 
TANZANIA WANYIMWA MKOPO MA WORLD BANK HIYO NDIYO HABARI YA MIJINI
 
Jiulize sababu ya serikali kuomba huo mkopo ilikuwa ni nini? Bila shaka ni bajeti finyu na uwezo mdogo wa serikali kifedha. Huo mkopo usipotoka malengo ya serikali hayatatimia na uzalishaji wa magumbaru kama wewe nchini utaongezeka maradufu. Understand?
Na hapo Zitto Kabwe na wenzie ndio watakuwa wamenufaika nini ?
 
Atarudi sana, kama world Bank wanamsikiliza Zito na kufanya maamuzi, si bora awe rais yeye ili akitaka mkopo wowote awaambie tu kisha watupe? Bado kuna watu wanadhani tumelala hatuwezi kujua kipi kilichopelekea WB kuchukua hatua hiyo, bali walisubiri barua ya Zito? Acha Bank ya Dunia , hata CRDB haiwezi kusubiri barua ya Zito isitishe mkopo kwa taasisi yoyote, sembuse WB? Mkuu hivi unaichukulia WB kama Vicoba vya huko mtaani vinavyoendeshwa na standard seven lever? Nikiona mtu anasema Zito ndio kazuia huo mkopo kutoka, najua ni muumini wa siasa chafu na ni mrahisi kurubiniwa na propaganda mfu.

Hiyo
 
Hiyo

Hicho ni kisingizio tu, lakini maamuzi tayari walishakuwa nayo. Hao wanaharakati wanatajwa ni ili kuhalalisha tu maamuzi yaliyokuwa mezani.
 
Ulimwengu unabadilika kila leo hii ni karne ya 21 sio ya 11
 
Mimi ninashindwa kuelewa hizi kelele kuhusu uwezekano wa serikali kupatiwa mkopo wa elimu au la na Benki ya Dunia.

Kinachonishangaza zaidi ni kuona jinsi ambavyo baadhi ya viongozi waandamizi wa serikali/CCM wanalumbana na wanaharakati na baadhi ya viongozi wa upinzani hasa Zitto Kabwe kuhusu uhalali wa kupewa mkopo au la!

Nikipongeze sana Chama kikuu cha upinzani (CHADEMA) kwa kukaa kando katika malumbano haya ambayo kwa mtazamo wangu hayana mantiki yoyote katika jamii.

Nadhani CHADEMA wameelewa jinsi ambavyo suala la Mimba za utotoni na kuendelea na masomo linavyohitaji uangalifu mkubwa katika kulipatia ufumbuzi kisiasa.

Ukichunguza utagundua wananchi wengi wanadhani sio vizuri mwanafunzi aliyepata mimba, akajifungua halafu akarudi tena kwenye darasa lenye wanafunzi wasio na watoto na kuendelea na masomo. Haishangazi kuona watu wengi wanapinga kwa sababu wananchi wengi nchini bado ni conservative lakini pia imani za dini zinakataza msichana kupata Mimba kabla ya kuolewa.

Wanaharakati na baadhi ya viongozi wa upinzani hasa Zitto wanaona ni sawa mwanafunzi aliyepata mimba ya utotoni na kujifungua lazima arudi tena kwenye darasa lenye wanafunzi wasio na watoto baada ya kujifungua na kuendelea na masomo.

Ieleweke kuwa moja ya sharti muhimu la kupata mkopo huo ni kuhakikisha wasichana wanapewa kipaumbele katika kupata elimu. Hii ni pamoja na wale ambao watapata mimba za utotoni.

Serikali imesema haiwezi kuruhusu wasichana waliozaa wasome darasa moja na wasichana ambao hawajazaa bali itawajengea shule zao na watasoma kwa miaka 2 badala ya minne kwa elimu ya sekondary (O-level) na kama watafaulu watakutana na wanafunzi wengine A-level.

Thamani ya mkopo ni dola za Kimarekani milioni 500. Hata hivyo, hizi pesa hazitolewi kwa mkupuo bali zitatolewa kidogo kidogo kwa miaka 7. Hii ina maana kuanzia 2020-2026.

Hapa chini ni Jedwali linaloonyesha jinsi ambavyo pesa zitatolewa kama mkopo utakubaliwa.
View attachment 1337756
Kama Mkopo utatolewa basi kwa mwaka huu wa fedha tutaletewa jumla ya dola za Kimarekani milioni 8.52 tu.

Ni aibu kwa pande zote hasa serikali kulumbana kupata mkopo badala ya kulumbana jinsi ya kukusanya mapato ya ndani na matumizi yake! Huu ni mkopo for God's sake!

Ni bora angalau malumbano haya yangekuwa ni kuhusu msaada (grant) kwa sababu hauna malipo kama ilivyokuwa kwenye Msaada (grant) wa thamani ya dola za kimarekani milioni 500 uliokuwa utolewe na serikali ya Marekani kupitia kitengo cha Millennium Challenge Corp (MCC) ambao ulisitishwa mwaka 2016.

Cha kujiuliza, Baada ya MCC kusitishwa mwaka 2016 kilitokea nini? Nani alinufaika na nani hakunufaika?

Je, huu mkopo ukitolewa, nani atanufaika na nani hatanufaika?

Je, huu mkopo usipotelewa, nani atanufaika na nani hatanufaika?

Haya ndio maswali muhimu ya kujiuliza?

Kulumbana juu ya kunyimwa au kupewa mkopo wa USDb500m toka benki ya Dunia, kati ya serikali na wapinzani ni mojawwpo ya vielelezo vya udogo wa kufikiri tulio nao kama nchi na uwezo wetu wa kujiongoza wenyewe bila kukopa mawazo au uzoefu toka kwa viranja wetu wa siku zote yaani wakoloni au wazungu wa Ulaya.

Hivi sisi kama nchi tunajiongoza kwa dira gani juu ya elimu ya watoto wetu? Kwanini Ilani ya Chama Cha Mapinduzi ya Mwaka 2015 iliyoiingiza serikali hii madarakani unasemaje kuhusu elimu? Kwani waliahidi kwamba watatoa elimu bure kwa kutumia mikopo au pesa za ndani? Mbona Rais amesema mara nyingi tu kuwa nchi ina pesa za kutosha kutokana na makusanyo ya Ndani, huo mkopo tunaukodolea macho ya nini? Na hilo suala la watoto kupewa mimba likiamuliwa kwa njia mojawapo Kati ya mbili zinazopendekezwa, itaboresha elimu ya Tanzania kwa kiwango gani?

Nitoe ushauri: kwa nini serikali wasikubali masharti ya mkopo kama kweli wanautaka (maana kila mkopo, hata hii ya benki uchwara za hapo Tanzania, una masharti) na kisha baada ya kupata, waelekeze nguvu nyingi kwenye kushughulikia na vyanzo vya mimba za utotoni badala ya kutumia approach ya hasira na ubabe kama wa Rais Magufuli?

Sote tunajua, Tanzania bado sana kujimudu kimaendeleo bila mikopo na misaada toka kwa hao viranja. Pamoja na kujitutumua kwa mbwembwe na jeuri ya kilimbukeni kama ya Paramagamba, bado tunahitaji hii mikopo ili mambo yaende.

Tuwe logical. Tuwe sober. Tuwe realistic. Tuache siasa za kipuuzi za kuropoka bila kufikiri.
 
Ukishapata mimba hauwi msichana tena bali hubadilika na kuwa Mama. Mama ni mtu mzima si msichana tena.
Mimi ninashindwa kuelewa hizi kelele kuhusu uwezekano wa serikali kupatiwa mkopo wa elimu au la na Benki ya Dunia.

Kinachonishangaza zaidi ni kuona jinsi ambavyo baadhi ya viongozi waandamizi wa serikali/CCM wanalumbana na wanaharakati na baadhi ya viongozi wa upinzani hasa Zitto Kabwe kuhusu uhalali wa kupewa mkopo au la!

Nikipongeze sana Chama kikuu cha upinzani (CHADEMA) kwa kukaa kando katika malumbano haya ambayo kwa mtazamo wangu hayana mantiki yoyote katika jamii.

Nadhani CHADEMA wameelewa jinsi ambavyo suala la Mimba za utotoni na kuendelea na masomo linavyohitaji uangalifu mkubwa katika kulipatia ufumbuzi kisiasa.

Ukichunguza utagundua wananchi wengi wanadhani sio vizuri mwanafunzi aliyepata mimba, akajifungua halafu akarudi tena kwenye darasa lenye wanafunzi wasio na watoto na kuendelea na masomo. Haishangazi kuona watu wengi wanapinga kwa sababu wananchi wengi nchini bado ni conservative lakini pia imani za dini zinakataza msichana kupata Mimba kabla ya kuolewa.

Wanaharakati na baadhi ya viongozi wa upinzani hasa Zitto wanaona ni sawa mwanafunzi aliyepata mimba ya utotoni na kujifungua lazima arudi tena kwenye darasa lenye wanafunzi wasio na watoto baada ya kujifungua na kuendelea na masomo.

Ieleweke kuwa moja ya sharti muhimu la kupata mkopo huo ni kuhakikisha wasichana wanapewa kipaumbele katika kupata elimu. Hii ni pamoja na wale ambao watapata mimba za utotoni.

Serikali imesema haiwezi kuruhusu wasichana waliozaa wasome darasa moja na wasichana ambao hawajazaa bali itawajengea shule zao na watasoma kwa miaka 2 badala ya minne kwa elimu ya sekondary (O-level) na kama watafaulu watakutana na wanafunzi wengine A-level.

Thamani ya mkopo ni dola za Kimarekani milioni 500. Hata hivyo, hizi pesa hazitolewi kwa mkupuo bali zitatolewa kidogo kidogo kwa miaka 7. Hii ina maana kuanzia 2020-2026.

Hapa chini ni Jedwali linaloonyesha jinsi ambavyo pesa zitatolewa kama mkopo utakubaliwa.
View attachment 1337756
Kama Mkopo utatolewa basi kwa mwaka huu wa fedha tutaletewa jumla ya dola za Kimarekani milioni 8.52 tu.

Ni aibu kwa pande zote hasa serikali kulumbana kupata mkopo badala ya kulumbana jinsi ya kukusanya mapato ya ndani na matumizi yake! Huu ni mkopo for God's sake!

Ni bora angalau malumbano haya yangekuwa ni kuhusu msaada (grant) kwa sababu hauna malipo kama ilivyokuwa kwenye Msaada (grant) wa thamani ya dola za kimarekani milioni 500 uliokuwa utolewe na serikali ya Marekani kupitia kitengo cha Millennium Challenge Corp (MCC) ambao ulisitishwa mwaka 2016.

Cha kujiuliza, Baada ya MCC kusitishwa mwaka 2016 kilitokea nini? Nani alinufaika na nani hakunufaika?

Je, huu mkopo ukitolewa, nani atanufaika na nani hatanufaika?

Je, huu mkopo usipotelewa, nani atanufaika na nani hatanufaika?

Haya ndio maswali muhimu ya kujiuliza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ninashindwa kuelewa hizi kelele kuhusu uwezekano wa serikali kupatiwa mkopo wa elimu au la na Benki ya Dunia.

Kinachonishangaza zaidi ni kuona jinsi ambavyo baadhi ya viongozi waandamizi wa serikali/CCM wanalumbana na wanaharakati na baadhi ya viongozi wa upinzani hasa Zitto Kabwe kuhusu uhalali wa kupewa mkopo au la!

Nikipongeze sana Chama kikuu cha upinzani (CHADEMA) kwa kukaa kando katika malumbano haya ambayo kwa mtazamo wangu hayana mantiki yoyote katika jamii.

Nadhani CHADEMA wameelewa jinsi ambavyo suala la Mimba za utotoni na kuendelea na masomo linavyohitaji uangalifu mkubwa katika kulipatia ufumbuzi kisiasa.

Ukichunguza utagundua wananchi wengi wanadhani sio vizuri mwanafunzi aliyepata mimba, akajifungua halafu akarudi tena kwenye darasa lenye wanafunzi wasio na watoto na kuendelea na masomo. Haishangazi kuona watu wengi wanapinga kwa sababu wananchi wengi nchini bado ni conservative lakini pia imani za dini zinakataza msichana kupata Mimba kabla ya kuolewa.

Wanaharakati na baadhi ya viongozi wa upinzani hasa Zitto wanaona ni sawa mwanafunzi aliyepata mimba ya utotoni na kujifungua lazima arudi tena kwenye darasa lenye wanafunzi wasio na watoto baada ya kujifungua na kuendelea na masomo.

Ieleweke kuwa moja ya sharti muhimu la kupata mkopo huo ni kuhakikisha wasichana wanapewa kipaumbele katika kupata elimu. Hii ni pamoja na wale ambao watapata mimba za utotoni.

Serikali imesema haiwezi kuruhusu wasichana waliozaa wasome darasa moja na wasichana ambao hawajazaa bali itawajengea shule zao na watasoma kwa miaka 2 badala ya minne kwa elimu ya sekondary (O-level) na kama watafaulu watakutana na wanafunzi wengine A-level.

Thamani ya mkopo ni dola za Kimarekani milioni 500. Hata hivyo, hizi pesa hazitolewi kwa mkupuo bali zitatolewa kidogo kidogo kwa miaka 7. Hii ina maana kuanzia 2020-2026.

Hapa chini ni Jedwali linaloonyesha jinsi ambavyo pesa zitatolewa kama mkopo utakubaliwa.
View attachment 1337756
Kama Mkopo utatolewa basi kwa mwaka huu wa fedha tutaletewa jumla ya dola za Kimarekani milioni 8.52 tu.

Ni aibu kwa pande zote hasa serikali kulumbana kupata mkopo badala ya kulumbana jinsi ya kukusanya mapato ya ndani na matumizi yake! Huu ni mkopo for God's sake!

Ni bora angalau malumbano haya yangekuwa ni kuhusu msaada (grant) kwa sababu hauna malipo kama ilivyokuwa kwenye Msaada (grant) wa thamani ya dola za kimarekani milioni 500 uliokuwa utolewe na serikali ya Marekani kupitia kitengo cha Millennium Challenge Corp (MCC) ambao ulisitishwa mwaka 2016.

Cha kujiuliza, Baada ya MCC kusitishwa mwaka 2016 kilitokea nini? Nani alinufaika na nani hakunufaika?

Je, huu mkopo ukitolewa, nani atanufaika na nani hatanufaika?

Je, huu mkopo usipotelewa, nani atanufaika na nani hatanufaika?

Haya ndio maswali muhimu ya kujiuliza?
Niiombe serikali iache kushughulika na huo mkopo, iendelee na mambo mengine, na wala isijadiliane nao, na hata wakati mwingine isiombe, isiulizie wala kuzungumzia!
 
Sababu hasa za serikali kunyimwa mkopo ni zipi?
 
Back
Top Bottom