Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Hata mabinti wafungwe. Kama Mungu aliweka sheria kwenye vitabu vyake kwamba kosa la zinaa adhabu ni kwa wote wawili, basi ni bora na sisi tuweke hivyo hivyo...tuna sheria kali.
..lakini tatizo halionekani kupungua.
..Nini kifanyike?
Zitto Usirudi Bongoo Ng'ooo..
.
Tutatumia pesa ambazo magufuli amesema zimejaa tele huko hazinaMimi ninashindwa kuelewa hizi kelele kuhusu uwezekano wa serikali kupatiwa mkopo wa elimu au la na Benki ya Dunia.
Kinachonishangaza zaidi ni kuona jinsi ambavyo baadhi ya viongozi waandamizi wa serikali/CCM wanalumbana na wanaharakati na baadhi ya viongozi wa upinzani hasa Zitto Kabwe kuhusu uhalali wa kupewa mkopo au la!
Nikipongeze sana Chama kikuu cha upinzani (CHADEMA) kwa kukaa kando katika malumbano haya ambayo kwa mtazamo wangu hayana mantiki yoyote katika jamii.
Nadhani CHADEMA wameelewa jinsi ambavyo suala la Mimba za utotoni na kuendelea na masomo linavyohitaji uangalifu mkubwa katika kulipatia ufumbuzi kisiasa.
Ukichunguza utagundua wananchi wengi wanadhani sio vizuri mwanafunzi aliyepata mimba, akajifungua halafu akarudi tena kwenye darasa lenye wanafunzi wasio na watoto na kuendelea na masomo. Haishangazi kuona watu wengi wanapinga kwa sababu wananchi wengi nchini bado ni conservative lakini pia imani za dini zinakataza msichana kupata Mimba kabla ya kuolewa.
Wanaharakati na baadhi ya viongozi wa upinzani hasa Zitto wanaona ni sawa mwanafunzi aliyepata mimba ya utotoni na kujifungua lazima arudi tena kwenye darasa lenye wanafunzi wasio na watoto baada ya kujifungua na kuendelea na masomo.
Ieleweke kuwa moja ya sharti muhimu la kupata mkopo huo ni kuhakikisha wasichana wanapewa kipaumbele katika kupata elimu. Hii ni pamoja na wale ambao watapata mimba za utotoni.
Serikali imesema haiwezi kuruhusu wasichana waliozaa wasome darasa moja na wasichana ambao hawajazaa bali itawajengea shule zao na watasoma kwa miaka 2 badala ya minne kwa elimu ya sekondary (O-level) na kama watafaulu watakutana na wanafunzi wengine A-level.
Thamani ya mkopo ni dola za Kimarekani milioni 500. Hata hivyo, hizi pesa hazitolewi kwa mkupuo bali zitatolewa kidogo kidogo kwa miaka 7. Hii ina maana kuanzia 2020-2026.
Hapa chini ni Jedwali linaloonyesha jinsi ambavyo pesa zitatolewa kama mkopo utakubaliwa.Kama Mkopo utatolewa basi kwa mwaka huu wa fedha tutaletewa jumla ya dola za Kimarekani milioni 8.52 tu.
View attachment 1337756
Ni aibu kwa pande zote hasa serikali kulumbana kupata mkopo badala ya kulumbana jinsi ya kukusanya mapato ya ndani na matumizi yake! Huu ni mkopo for God's sake!
Ni bora angalau malumbano haya yangekuwa ni kuhusu msaada (grant) kwa sababu hauna malipo kama ilivyokuwa kwenye Msaada (grant) wa thamani ya dola za kimarekani milioni 500 uliokuwa utolewe na serikali ya Marekani kupitia kitengo cha Millennium Challenge Corp (MCC) ambao ulisitishwa mwaka 2016.
Cha kujiuliza, Baada ya MCC kusitishwa mwaka 2016 kilitokea nini? Nani alinufaika na nani hakunufaika?
Je, huu mkopo ukitolewa, nani atanufaika na nani hatanufaika?
Je, huu mkopo usipotelewa, nani atanufaika na nani hatanufaika?
Haya ndio maswali muhimu ya kujiuliza?
Mwenyewe ulikuwa unalia lia,wameshakupa matango unageuka. Acha unafika mzee.Mimi ninashindwa kuelewa hizi kelele kuhusu uwezekano wa serikali kupatiwa mkopo wa elimu au la na Benki ya Dunia.

Na hapo Zitto Kabwe na wenzie ndio watakuwa wamenufaika nini ?Jiulize sababu ya serikali kuomba huo mkopo ilikuwa ni nini? Bila shaka ni bajeti finyu na uwezo mdogo wa serikali kifedha. Huo mkopo usipotoka malengo ya serikali hayatatimia na uzalishaji wa magumbaru kama wewe nchini utaongezeka maradufu. Understand?
Atarudi sana, kama world Bank wanamsikiliza Zito na kufanya maamuzi, si bora awe rais yeye ili akitaka mkopo wowote awaambie tu kisha watupe? Bado kuna watu wanadhani tumelala hatuwezi kujua kipi kilichopelekea WB kuchukua hatua hiyo, bali walisubiri barua ya Zito? Acha Bank ya Dunia , hata CRDB haiwezi kusubiri barua ya Zito isitishe mkopo kwa taasisi yoyote, sembuse WB? Mkuu hivi unaichukulia WB kama Vicoba vya huko mtaani vinavyoendeshwa na standard seven lever? Nikiona mtu anasema Zito ndio kazuia huo mkopo kutoka, najua ni muumini wa siasa chafu na ni mrahisi kurubiniwa na propaganda mfu.
World Bank delays vote on $500 million loan for Tanzania after activist pressure over ban on pregnant schoolgirls | CNN
The World Bank has postponed its decision on granting Tanzania a $500 million loan, following pressure from activists who oppose the country's policy of banning pregnant girls and young mothers from attending state school.edition.cnn.com
Hiyo
Pole
Mimi ninashindwa kuelewa hizi kelele kuhusu uwezekano wa serikali kupatiwa mkopo wa elimu au la na Benki ya Dunia.
Kinachonishangaza zaidi ni kuona jinsi ambavyo baadhi ya viongozi waandamizi wa serikali/CCM wanalumbana na wanaharakati na baadhi ya viongozi wa upinzani hasa Zitto Kabwe kuhusu uhalali wa kupewa mkopo au la!
Nikipongeze sana Chama kikuu cha upinzani (CHADEMA) kwa kukaa kando katika malumbano haya ambayo kwa mtazamo wangu hayana mantiki yoyote katika jamii.
Nadhani CHADEMA wameelewa jinsi ambavyo suala la Mimba za utotoni na kuendelea na masomo linavyohitaji uangalifu mkubwa katika kulipatia ufumbuzi kisiasa.
Ukichunguza utagundua wananchi wengi wanadhani sio vizuri mwanafunzi aliyepata mimba, akajifungua halafu akarudi tena kwenye darasa lenye wanafunzi wasio na watoto na kuendelea na masomo. Haishangazi kuona watu wengi wanapinga kwa sababu wananchi wengi nchini bado ni conservative lakini pia imani za dini zinakataza msichana kupata Mimba kabla ya kuolewa.
Wanaharakati na baadhi ya viongozi wa upinzani hasa Zitto wanaona ni sawa mwanafunzi aliyepata mimba ya utotoni na kujifungua lazima arudi tena kwenye darasa lenye wanafunzi wasio na watoto baada ya kujifungua na kuendelea na masomo.
Ieleweke kuwa moja ya sharti muhimu la kupata mkopo huo ni kuhakikisha wasichana wanapewa kipaumbele katika kupata elimu. Hii ni pamoja na wale ambao watapata mimba za utotoni.
Serikali imesema haiwezi kuruhusu wasichana waliozaa wasome darasa moja na wasichana ambao hawajazaa bali itawajengea shule zao na watasoma kwa miaka 2 badala ya minne kwa elimu ya sekondary (O-level) na kama watafaulu watakutana na wanafunzi wengine A-level.
Thamani ya mkopo ni dola za Kimarekani milioni 500. Hata hivyo, hizi pesa hazitolewi kwa mkupuo bali zitatolewa kidogo kidogo kwa miaka 7. Hii ina maana kuanzia 2020-2026.
Hapa chini ni Jedwali linaloonyesha jinsi ambavyo pesa zitatolewa kama mkopo utakubaliwa.Kama Mkopo utatolewa basi kwa mwaka huu wa fedha tutaletewa jumla ya dola za Kimarekani milioni 8.52 tu.
View attachment 1337756
Ni aibu kwa pande zote hasa serikali kulumbana kupata mkopo badala ya kulumbana jinsi ya kukusanya mapato ya ndani na matumizi yake! Huu ni mkopo for God's sake!
Ni bora angalau malumbano haya yangekuwa ni kuhusu msaada (grant) kwa sababu hauna malipo kama ilivyokuwa kwenye Msaada (grant) wa thamani ya dola za kimarekani milioni 500 uliokuwa utolewe na serikali ya Marekani kupitia kitengo cha Millennium Challenge Corp (MCC) ambao ulisitishwa mwaka 2016.
Cha kujiuliza, Baada ya MCC kusitishwa mwaka 2016 kilitokea nini? Nani alinufaika na nani hakunufaika?
Je, huu mkopo ukitolewa, nani atanufaika na nani hatanufaika?
Je, huu mkopo usipotelewa, nani atanufaika na nani hatanufaika?
Haya ndio maswali muhimu ya kujiuliza?
Mimi ninashindwa kuelewa hizi kelele kuhusu uwezekano wa serikali kupatiwa mkopo wa elimu au la na Benki ya Dunia.
Kinachonishangaza zaidi ni kuona jinsi ambavyo baadhi ya viongozi waandamizi wa serikali/CCM wanalumbana na wanaharakati na baadhi ya viongozi wa upinzani hasa Zitto Kabwe kuhusu uhalali wa kupewa mkopo au la!
Nikipongeze sana Chama kikuu cha upinzani (CHADEMA) kwa kukaa kando katika malumbano haya ambayo kwa mtazamo wangu hayana mantiki yoyote katika jamii.
Nadhani CHADEMA wameelewa jinsi ambavyo suala la Mimba za utotoni na kuendelea na masomo linavyohitaji uangalifu mkubwa katika kulipatia ufumbuzi kisiasa.
Ukichunguza utagundua wananchi wengi wanadhani sio vizuri mwanafunzi aliyepata mimba, akajifungua halafu akarudi tena kwenye darasa lenye wanafunzi wasio na watoto na kuendelea na masomo. Haishangazi kuona watu wengi wanapinga kwa sababu wananchi wengi nchini bado ni conservative lakini pia imani za dini zinakataza msichana kupata Mimba kabla ya kuolewa.
Wanaharakati na baadhi ya viongozi wa upinzani hasa Zitto wanaona ni sawa mwanafunzi aliyepata mimba ya utotoni na kujifungua lazima arudi tena kwenye darasa lenye wanafunzi wasio na watoto baada ya kujifungua na kuendelea na masomo.
Ieleweke kuwa moja ya sharti muhimu la kupata mkopo huo ni kuhakikisha wasichana wanapewa kipaumbele katika kupata elimu. Hii ni pamoja na wale ambao watapata mimba za utotoni.
Serikali imesema haiwezi kuruhusu wasichana waliozaa wasome darasa moja na wasichana ambao hawajazaa bali itawajengea shule zao na watasoma kwa miaka 2 badala ya minne kwa elimu ya sekondary (O-level) na kama watafaulu watakutana na wanafunzi wengine A-level.
Thamani ya mkopo ni dola za Kimarekani milioni 500. Hata hivyo, hizi pesa hazitolewi kwa mkupuo bali zitatolewa kidogo kidogo kwa miaka 7. Hii ina maana kuanzia 2020-2026.
Hapa chini ni Jedwali linaloonyesha jinsi ambavyo pesa zitatolewa kama mkopo utakubaliwa.Kama Mkopo utatolewa basi kwa mwaka huu wa fedha tutaletewa jumla ya dola za Kimarekani milioni 8.52 tu.
View attachment 1337756
Ni aibu kwa pande zote hasa serikali kulumbana kupata mkopo badala ya kulumbana jinsi ya kukusanya mapato ya ndani na matumizi yake! Huu ni mkopo for God's sake!
Ni bora angalau malumbano haya yangekuwa ni kuhusu msaada (grant) kwa sababu hauna malipo kama ilivyokuwa kwenye Msaada (grant) wa thamani ya dola za kimarekani milioni 500 uliokuwa utolewe na serikali ya Marekani kupitia kitengo cha Millennium Challenge Corp (MCC) ambao ulisitishwa mwaka 2016.
Cha kujiuliza, Baada ya MCC kusitishwa mwaka 2016 kilitokea nini? Nani alinufaika na nani hakunufaika?
Je, huu mkopo ukitolewa, nani atanufaika na nani hatanufaika?
Je, huu mkopo usipotelewa, nani atanufaika na nani hatanufaika?
Haya ndio maswali muhimu ya kujiuliza?
Niiombe serikali iache kushughulika na huo mkopo, iendelee na mambo mengine, na wala isijadiliane nao, na hata wakati mwingine isiombe, isiulizie wala kuzungumzia!Mimi ninashindwa kuelewa hizi kelele kuhusu uwezekano wa serikali kupatiwa mkopo wa elimu au la na Benki ya Dunia.