Je, Serikali iko tayari kumuwekea ulinzi Ole Sabaya?

Acha roho mbaya.
 
Sijawahi kusikia wala kuona mshitakiwa amekiri kuhusika na makosa ya kesi za jinai akaachiwa huru kwa Plea Bargain acha mbali mwenye kesi 7 za jinai, ambazo ni pamoja na Uhujumu Uchumi, matumizi mabaya ya madaraka na Uongozi wa genge la Majambazi ati kaachiwa huru baada ya kukiri makosa yote hayo - Only in Tanzania
 
Hii ndio serikali ya CCM. Mama anaupiga mwingi mnooo. Kanyaga twende
 
Nenda kakae wewe jela
 
Huyo anayetaka kumdhuru Sabaya aende akatolewe utumbo uliojaa Mbege na Konyagi.
 
Inashangaza sana ! Lakini tumeambiwa humu kuna mwenye tuzo kwenye Jukwaa la Sheria Pascal Mayalla nina uhakika atakuja kulitolea ufafanuzi
 
Nampongeza Sabaya kwa kukiri makosa yake hadharani, tunaamini huko mbele atakiri mengi ikiwemo kuweka chumvi kwenye Magari ya Freeman Mbowe na kuyaharibu.
Amekubali kuwa alitumika kuharibu na kudhuru watu. Shenzi kabisa, who is next?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…